Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
Me au keNatafuta mkatoliiki nimuoe jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me au keNatafuta mkatoliiki nimuoe jamani
Hufahamu chochote kuhusiana na namna biblia ilivyoandikwa na kutunzwa na Mungu mwenyewe.Kama ulikuwa hujui..
Hiyo bible unayo taka kuwa reference yako... kuna kipindi ilipokwa na hao hao wakatoliki, ika Editiwa halafu ika rudishwa kwako usome... hayo unayosema mapokeo au matamko.. yapo kwenye maandishi yanayo milikiwa na papa
Kwangu mimi roman catholic ni taasisi fulani ya kijasusi inayotawala sehemu kubwa ya dunia kupitia yule wanamuita bikira maria na wala haina uhusiano na kanisa la Yesu Kristo. Asilimia kubwa ya mafundisho yao ni matamko ya viongozi na mapokeo ya miaka mingi.
Sasa kilichopitishwa na papa francis leo ni ruhusa kwa makasisi kutoa baraka za aina mbalimbali hata kwa watu wenye mahusiano ya jinsia moja. Hajasema kwamba wafungishe ndoa hizo bali wawatamkie baraka hao watu bila kujali uovu wao.
Nani Hana Dhambi dunianiKutoa baraka na kuruhusu vina tofauti gani?
Ushoga ni laanaNani Hana Dhambi duniani
Wewe ndiyo hujui afu unataka kuji danganya..Hufahamu chochote kuhusiana na namna biblia ilivyoandikwa na kutunzwa na Mungu mwenyewe.
Kasisi anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja: 'Nililia nilipolipata kanisa hili'Kwangu mimi roman catholic ni taasisi fulani ya kijasusi inayotawala sehemu kubwa ya dunia kupitia yule wanamuita bikira maria na wala haina uhusiano na kanisa la Yesu Kristo. Asilimia kubwa ya mafundisho yao ni matamko ya viongozi na mapokeo ya miaka mingi.
Sasa kilichopitishwa na papa francis leo ni ruhusa kwa makasisi kutoa baraka za aina mbalimbali hata kwa watu wenye mahusiano ya jinsia moja. Hajasema kwamba wafungishe ndoa hizo bali wawatamkie baraka hao watu bila kujali uovu wao.
Kama wameiedit wao basi lazima mambo haya yameruhusiwa kwenye biblia,au kama umeyaona basi ulete aya ndani ya biblia;Kama ulikuwa hujui..
Hiyo bible unayo taka kuwa reference yako... kuna kipindi ilipokwa na hao hao wakatoliki, ika Editiwa halafu ika rudishwa kwako usome... hayo unayosema mapokeo au matamko.. yapo kwenye maandishi yanayo milikiwa na papa
Hao hata hawajui biblia iliandikwaje.Kama wameiedit wao basi lazima mambo haya yameruhusiwa kwenye biblia,au kama umeyaona basi ulete aya ndani ya biblia;
1-Ushoga ruksa
2-Sabato ni siku ya kwanza ya juma(jumapili)
3-Nguruwe ruksa kula
4-Ibada za kuombea wafu
5-Papa ndiyo baba mtakatifu
6-Katoliki ndiyo kanisa la mitume
7-Mariam mama yake Yesu kapaishwa mbinguni
8-Kusali rozali
N.k
Hayo ni mawazo yako kutokana na udumavu wa akili ulio nayo!Kwangu mimi roman catholic ni taasisi fulani ya kijasusi inayotawala sehemu kubwa ya dunia kupitia yule wanamuita bikira maria na wala haina uhusiano na kanisa la Yesu Kristo. Asilimia kubwa ya mafundisho yao ni matamko ya viongozi na mapokeo ya miaka mingi.
Nakuuliza wanabarikiwa kwa Jina la Mungu yupi?Kwangu mimi roman catholic ni taasisi fulani ya kijasusi inayotawala sehemu kubwa ya dunia kupitia yule wanamuita bikira maria na wala haina uhusiano na kanisa la Yesu Kristo. Asilimia kubwa ya mafundisho yao ni matamko ya viongozi na mapokeo ya miaka mingi.
Sasa kilichopitishwa na papa francis leo ni ruhusa kwa makasisi kutoa baraka za aina mbalimbali hata kwa watu wenye mahusiano ya jinsia moja. Hajasema kwamba wafungishe ndoa hizo bali wawatamkie baraka hao watu bila kujali uovu wao.
Je wakienda wakitaka kubarikiwa kwenye ndoa yao?. Inawezekana nawe shoga ndio maana unalazimisha kupindisha kiswahili wakati ni lugha yetu sote tunaijua toka kuzaliwa. Mfano unapomuombea mwanao baraka ktk jambo lake fulani maana yake unakubalia nae ktk jambo hilo upo nae bega kwa bega sasa makasisi kuruhusiwa kutoa baraka kwa mashoga maana yake hapo sio kuchagua jambo hili sawa hili hapana hiyo kusema sio kufungisha ndoa umesema wewe tunachojua kupewa baraka mashoka ruksa ingawa kwa Imani yangu siamini ktk kubarikiwa na hi nwenzangu nachojua mimi mwenyezi mungu pekee ndio mwenye uwezo wa kumbariki mtu. Ndio maana unamwambia mwebzako ubarikiwe au mwenyezimungu akubariki lakin sio mtu anamadhambi kibao eti anabariki watu wengine huko ni kuingilia mamlaka ya mwenyezimungu .unabariki kizazi cha nabii Ruti ambacho mwebyezi mungu alikiiangamiza ukichunguza Unakuta hakuna dini ni sera tu za ushawishi wa kiduniaTamko limeruhusu, kwamfano, watu wenye ndoa ya jinsia moja wakienda kwa kasisi wakitaka awaombee kwenye biashara zao basi asikatae.
Tamko halijasema kwamba wafungishe ndoa za jinsia moja.
Reasoning ya namna hii inaonyesha tu darasani ulikuwaje na hata katika maisha maana inasemekana ukipata elimu nzuri hata namna yako ya argument ni nzuri na hata jinsi unavyoishi na relation yako kwa wenzako. Elimu ya kuungauga ina matobo mengi, hivyo hata ukitoa mawazo yanakuwa na gaps nyingi kama matango pori unayojaribu kutulisha hapa.Kwangu mimi roman catholic ni taasisi fulani ya kijasusi inayotawala sehemu kubwa ya dunia kupitia yule wanamuita bikira maria na wala haina uhusiano na kanisa la Yesu Kristo. Asilimia kubwa ya mafundisho yao ni matamko ya viongozi na mapokeo ya miaka mingi.
Sasa kilichopitishwa na papa francis leo ni ruhusa kwa makasisi kutoa baraka za aina mbalimbali hata kwa watu wenye mahusiano ya jinsia moja. Hajasema kwamba wafungishe ndoa hizo bali wawatamkie baraka hao watu bila kujali uovu wao.
Hujajibuuu swali, nani hana dhambiiii??Ushoga ni laana
Wewe ni shoga?Hujajibuuu swali, nani hana dhambiiii??