Ingawa Mark X na Crown zinatumia engine moja, Mark X inatumia mafuta vizuri zaidi

Oldskul

Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
85
Reaction score
153
kwema wajumbe.... Nimetumia crown ambayo iko order kabisa nilikua nikiweka full tank computer dashboard inaniambia nna km 520 had 545 maxmum kwa safari ndefu.

ila nimenunua mark x engine ile ile 4GR.... lakini nimepiga km. 710 ndo zile bar (gauge meter) zikafutika zote...

Wadau wanadai ni kutokana na kwamba mark x ni nyepes kuliko crown...

Tupate maoni mengine...

Note... picha naambatanisha ilikua nakaribia kumaliza safar yangu ya Arusha Mwanza.....
 
Hio Mark X ukibonyeza hapo kwenye Trip inapoonesha 28 degrees pana badilika na panaanza kuonesha average fuel consumption i.e 9km/l au 10km ila katika mfano wako hujaonesha kama hio Crown umesafiri nayo au la...ila Mark X kwa kweli ni kama vile ya kizamani sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…