kwema wajumbe.... Nimetumia crown ambayo iko order kabisa nilikua nikiweka full tank computer dashboard inaniambia nna km 520 had 545 maxmum kwa safari ndefu.
ila nimenunua mark x engine ile ile 4GR.... lakini nimepiga km. 710 ndo zile bar (gauge meter) zikafutika zote...
Wadau wanadai ni kutokana na kwamba mark x ni nyepes kuliko crown...
Tupate maoni mengine...
Note... picha naambatanisha ilikua nakaribia kumaliza safar yangu ya Arusha Mwanza.....