Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Ndiyo utagundua huku jf watu wanatudanganya...85000 full tank? Hiyo fuga tank zinajaa lita ngapi?
Full tank ni sawa na litre ngapi kwa crown?Ya kwangu mkuu nikiweka full tank inanifikisha singida from dar.. singida nikijaza tena nafika bukoba na yanabakii ya kuanzia
Yap. NilibadilishaVipi ulibadilisha na gear box...?
Noma mkuu! Kuna mdau mmoja hapo juu katuingiza chaka 1g yake inaenda 18km/l[emoji53][emoji53]Ndiyo utagundua huku jf watu wanatudanganya...
Bei ya petrol kwa sasa ni kati ya 2250 mpka 2360 kutemea na mkoa uliopo....hata tukisema mfano lita 1 iwe 2000....bado 85000 haijazi full tank ya nissan fuga..
85000÷2250= lita 37.7.......sijui ni Fuga ipi hii uenye full tank ya lita 37.7..?
Hii 85000 haitoshi kuweka full tank kwenye Nissan Note yangu ambayo capacity yake ni lita 45 kulingana na bei ya sasa ya petrol....
Capacity ya Nissan fuga ni kati ya lita 60 au 70 kama sikosei....
....Sema yote husije huku tuliko (brevis). Chuma inakula 4km per liter kama naendesha vx na haliuziki bora mark x
Note: brevis 2500i
1G. Highway inaenda mpk 18km/L
Mkuu hapa sijaamini kabisa
Hahah kimahesabu zaidi,sijui kama atakujibu tena.Ndiyo utagundua huku jf watu wanatudanganya...
Bei ya petrol kwa sasa ni kati ya 2250 mpka 2360 kutemea na mkoa uliopo....hata tukisema mfano lita 1 iwe 2000....bado 85000 haijazi full tank ya nissan fuga..
85000÷2250= lita 37.7.......sijui ni Fuga ipi hii uenye full tank ya lita 37.7..?
Hii 85000 haitoshi kuweka full tank kwenye Nissan Note yangu ambayo capacity yake ni lita 45 kulingana na bei ya sasa ya petrol....
Capacity ya Nissan fuga ni kati ya lita 60 au 70 kama sikosei....
Kitu kma litre 72 mkuuFull tank ni sawa na litre ngapi kwa crown?
High way 1g inakula vizurii mkuu kma nitofauta na ist ni ndogo sanaImekuwa ist mkuu?
Nimesoma coment yake nikacheka tu.....gari ya cc 1500 yenyewe haifikishi hizo km..Noma mkuu! Kuna mdau mmoja hapo juu katuingiza chaka 1g yake inaenda 18km/l[emoji53][emoji53]
Nadhani atakuwa car wash anaiosha....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah kimahesabu zaidi,sijui kama atakujibu tena.
High way 1g inakula vizurii mkuu kma nitofauta na ist ni ndogo sana
https://www.vindecoderz.com/EN/Toyota/Mark II/1998/specs-featuresGari nyingi high way zinakula vizuri lakini 1g kwa km 18/L hapo sikubali...
Kuna IsT ambazo hiyo 18)L zinaenda kwa taabu...tena ukute inatunzwa vizuri...
Nimeangalia sijaona mkuu...
Mie nilipiga hesabu zangu pale nikaona kabla sijafikia hitimisho, niulize tu ni gari gani hiyo! Maana niliona pale tushapelekwa chaka.Noma mkuu! Kuna mdau mmoja hapo juu katuingiza chaka 1g yake inaenda 18km/l[emoji53][emoji53]
Toa ujinga wako hapa. Mie nina Nissan Safari, 4500cc inakula 8km/Ltr....Sema yote husije huku tuliko (brevis). Chuma inakula 4km per liter kama naendesha vx na haliuziki bora mark x
Note: brevis 2500i
Kwamba inakunywa kidogo?Crown nayo iko vizuri kwa mafuta
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]Aisee....imebidi nicheke sana....Toa ujinga wako hapa. Mie nina Nissan Safari, 4500cc inakula 8km/Ltr
Hiyo yako ni ujinga. Sio gari ni takataka
Ongeza sauti mkuu.Subaru legacy ndo mbabe