Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Ndiyo utagundua huku jf watu wanatudanganya...85000 full tank? Hiyo fuga tank zinajaa lita ngapi?
Bei ya petrol kwa sasa ni kati ya 2250 mpka 2360 kutemea na mkoa uliopo....hata tukisema mfano lita 1 iwe 2000....bado 85000 haijazi full tank ya nissan fuga..
85000÷2250= lita 37.7.......sijui ni Fuga ipi hii uenye full tank ya lita 37.7..?
Hii 85000 haitoshi kuweka full tank kwenye Nissan Note yangu ambayo capacity yake ni lita 45 kulingana na bei ya sasa ya petrol....
Capacity ya Nissan fuga ni kati ya lita 60 au 70 kama sikosei....