Ingawa Mark X na Crown zinatumia engine moja, Mark X inatumia mafuta vizuri zaidi

Nissan maximo and nussan altima nakyacha unaenda kwanza kama km 1 ivi
 
Nimefunga Engine 1G kwenye Nissan Fuga aisee chombo inatambaa balaa. Ulaji siwazi naweka full tenki 85,000 Tshs. Nasahau
We ni muongo sana, full tank ya fuga unaweka 85000?? Yaan una maanisha full tank ni lita 40??? Aisee humu kuna watu waongo sana
 
mark II grande boss ndio predecessor wa mark x
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…