Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
Inategemea unauza bei gani....Sema yote husije huku tuliko (brevis). Chuma inakula 4km per liter kama naendesha vx na haliuziki bora mark x
Note: brevis 2500i
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea unauza bei gani....Sema yote husije huku tuliko (brevis). Chuma inakula 4km per liter kama naendesha vx na haliuziki bora mark x
Note: brevis 2500i
We ni muongo sana, full tank ya fuga unaweka 85000?? Yaan una maanisha full tank ni lita 40??? Aisee humu kuna watu waongo sanaNimefunga Engine 1G kwenye Nissan Fuga aisee chombo inatambaa balaa. Ulaji siwazi naweka full tenki 85,000 Tshs. Nasahau
1G engine kwenye Fuga????Nimefunga Engine 1G kwenye Nissan Fuga aisee chombo inatambaa balaa. Ulaji siwazi naweka full tenki 85,000 Tshs. Nasahau
mark II grande boss ndio predecessor wa mark xWala hata si la kizamani ni la kisasa kabisaa!
Na si kweli kwamba mark x ilianza kuonekana bongo mwaka 2005 labda useme ilianza kutengenezwa mwaka huo!
Na pia unapaswa ujue mark x ni successor wa brevis combined na verosa ndio kikazaliwa kitu kinaitwa mark x
Naam! Mbeya M tumstaafishe jamaa. Mwaka huu tunataka msomi1G engine kwenye Fuga????
Gari za chini bye bye!mark II grande boss ndio predecessor wa mark x