Ingawa Mark X na Crown zinatumia engine moja, Mark X inatumia mafuta vizuri zaidi

Hio Mark X ukibonyeza hapo kwenye Trip inapoonesha 28 degrees pana badilika na panaanza kuonesha average fuel consumption i.e 9km/l au 10km ila katika mfano wako hujaonesha kama hio Crown umesafiri nayo au la...ila Mark X kwa kweli ni kama vile ya kizamani sana..
gari ya 2006 kwako ni ya kizamani? Bila shaka unatembelea harrier bas ya 2014 zile za milioni 90
 
Nimemaanisha ya kizamani kwa maana model jinsi ilivyo maana Mark X zilianza kuja kuonekana Bongo kuanzia 2005, kwaio ile fashion ilikaa sana yani mfano mtu anunue verossa 2019 au 2020 linaloonekana lipo modern hata kwa muonekano ni walau Crown Athlete GRS 180 ambalo nalo lilianza kutengenezwa tangu 2004
 
Full tank ninlita ngapi..maana Gari zinatofautiana kwenye tank zake
 
Mark X walau upate facelift ya 2011 ile iko mzuka, ila sijapenda dashboard walivyoifanya kuwa kama ya premio.
Mwaka huu mwanzoni Mark X walitangeneza Mark X Sport car inayokuwa na mfumo wa manual gear box na engine hizi za GR series.

Hong kong hizi Mark X GRMN ziliingia sokoni tangu mwezi January.
IMG_20190114_194951.jpg
 
Mark X walau upate facelift ya 2011 ile iko mzuka, ila sijapenda dashboard walivyoifanya kuwa kama ya premio.
Ile facelifted yake inaifanya ionekane ni machine ya kazi..kuna mark x mbili hua zinapaki sana kariakoo kwenye parking nyuma ya stand ya mwendo lazi gerezani zile ni za 2012+ aisee zipo makini hatari...
 
Gari ya ukweli sana ile Mark X.
 
Hizi mark X nazikubali sana, ila tatizo ni mazingira ya barabara, michanga mingi na mashimo haziwezi.
 
Nimemaanisha ya kizamani kwa maana model jinsi ilivyo maana Mark X zilianza kuja kuonekana Bongo kuanzia 2005, kwaio ile fashion ilikaa sana yani mfano mtu anunue verossa 2019 au 2020 linaloonekana lipo modern hata kwa muonekano ni walau Crown Athlete GRS 180 ambalo nalo lilianza kutengenezwa tangu 2004
Mkuu altezza unaiongelea vipi?
 
Altezza ipo fresh tu mkuu ingawa muendelezo wake unaitwa Lexus IS250 au IS300 zipo fresh..kwa vijana..
Kuna jamaa anafanya mchakato aimiliki hii ndinga,vijana wanadai ishapitwa na wakati km kina gx 100 na brevis
 
Back
Top Bottom