sipo ufipa na sina chama, vichwa vyenu vimejaa wadudu, mshaurini rais na sio kumwangamiza kwa faida ya matumbo yenu.Wewe kaa hapo hapo ufipa ukijikomba komba kwa wakenya. Hapa kazi tu.
hawa jamaa aisee bado sana na hicho kiingereza chao cha kiruoNa kuna kampuni inayo supply mifuko ya kunyea huko ndani, na same company inahusika na kuokota na kukusanya hivyo vinyesi ndani ya mifuko.
watu wa aina yako mnasababisha Watanzania kuonekana Vilazer, Watanzania kuanzia matajiri hadi maskini wote wanaisoma namba kwa hiyo huu unaoandika ni upumbavu mtupu.
Tanzania hasa wakulima wanaihitaji Kenya kuliko Kenya inavyotuhitaji.
Soko la;
1. mahindi
2. mtama
3. ngwara
yameanguka bei sababu ya figusi za kijinga.
Hii habari ukamuuzie bibi yako kijijini.
MK254
......and people are liking this bullshit? The Blue economy conference is an international thing that was hosted simultaneously by Kenya, Canada and Japan. Sasa wewe unaposema ulikua baina ya Kenya na Tanzania sijui unaongelea nini? Don't feel so important.Baada ya njaa kuwa kali, Kenyatta akaona atafute namna ya kiutu uzima kukutana na mkuu wa nchi iliyojaa chakula na soko la uhakika la bidhaa za Kenya.
Mara akaitisha mkutano wa Blue economy, jamaa hakutokea, badala yake akatokea Shein.
Jamaa kaona saaa hali imekuwa mbaya.
Ataendaje Tz, how does he sell it to his people kuwa amekuja ku beg Tz? So ikabidi na M7 awepo pale to paint a good picture of EaC look like. So kina Kagame na Nkurunziza hawakuwa na haja ya kuwepo pale kwa kuwa mkutano ule ulikuwa baina ya Kenya na Tz, ila ukibeba sura ya jumuiya kwa kumuweka na M7 ili kumsitiri mtu mzima Kenyatta.
Kwa kuwa wakenya mmehitaji msaada wetu, msijali. Tutawasaidia kiroho safi. Ila mpunguze majivuno. Jishusheni mpate msaada.
Which other country? Tukikataa kununua hayo mahindi yenu mtakuwa wa kwa kwanza kulalamika. There's so much maize in this world countries are begging for market.Kenya mna viwanda zaidi twajua, lakini viwanda hivyo hununua mahindi ktoka Tz na baada ya kutengeza last product soko lao kuu ni Tz. Sisi tukiamua pamoja na kutonunua mahindi yetu tutayauza another country. Na tutazuia uuzaji wa bidhaa zenu hapa kwetu. Mtalia saana