mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Dinho ndani ya 18 anatoa pande hawa wa sasa kwa kupenda ufungaji bora yaan wao wanapenda tu wafunge
Gang Chomba video ninayo sema kuupload siwez sasa usiongee mengi na ukiniambia anavipita visichana unakuwa unaikosea adabu hata timu yako ya acmilan rejea mechi tuliyokupiga 4 alaf lile goli la pili la messi unajua messi alipiga chenga beki ngapi kabla ya kumtungua kipa wako mwenye upara na hyo video yangu inaonyesha ni kias gani nesta alipata shida kwani alitamani hata atoke uwanjani
mechi mnashinda 4-0 Nesta alikuwa keshasepa.
ndo maana nakwambia wewe ni mdogo na soka unalipenda ila hulijui.
kuzungumzia soka la last season na mwenzio Aleyn
Kwa hiyo Messi na Christiano si lolote maana hawana ndoo ya dunia ila Dihno anayo
Wewe hujui mpira na wala hujui hata kutuliza mpira,ukiingia nyumbani kwenu unapasua vyombo vyote,nimewawekea hapo clip Messi mwenyewe akikiri kwamba Dinho ni habari nyingine bado mnabisha wakati messi kacheza na Dinho anamjua,wewe ambae hata hujacheza nae unabisha.Ngoja messi astaafu ndio watajua messi alikuwa habari nyingine
Kama ni hivyo basi hata Tanzania imeshabeba Kombe.la dunia.Refer world Cup ya watoto wa mitaanihata messi kabeba kombe la dunia
Kila Kombe alilochukua Messi Dihno pia kachukua lkn si kila kombe ambalo Dihno kachukua na Messi kachukua
Kila Kombe alilochukua Messi Dihno pia kachukua lkn si kila kombe ambalo Dihno kachukua na Messi kachukua
Wewe hujui mpira na wala hujui hata kutuliza mpira,ukiingia nyumbani kwenu unapasua vyombo vyote,nimewawekea hapo clip Messi mwenyewe akikiri kwamba Dinho ni habari nyingine bado mnabisha wakati messi kacheza na Dinho anamjua,wewe ambae hata hujacheza nae unabisha.
Sasa soma hapa pia Deco anasema Ronaldinho ni mzuri kuliko wote wawili ukiwaweka pamoja,Deco amecheza nao wote,CR7 kwenye timu ya taifa na Messi na Gaucho Barca. Ameyasema hayo mwaka huu alipokua anaongea na jarida la 4:4:2,jarida maarufu la michezo duniani.
Anasema Messi na CR7 ni wakali wana vipaji vya asili lakini Ronaldinho alikua anafanya vitu vya ajabu ambavyo hawajawahi kuvifanya wote wawili. Imenukuliwa na gazeti la daily mail la uk
Soma hapa.
Lionel Messi edges Cristiano Ronaldo when it comes to 'talent'... but Ronaldinho is the most skillful, says former team-mate Deco | Daily Mail Online
Soma hapa pia
http://www.thetoptens.com/soccer-football-players/ronaldinho-1396.asp
Muwe mnasoma majarida makubwa kujua Gaucho anachukuliwaje na watu,sio kusoam champion alafu unakuja kubisha hapa.
Watu wanamuita mungu wa mpira,wengine nabii wa mpira,wengine malaika,yesu kristo wa mpira nk.
Kama ni makombe tuu basi hata Ramos naye kabeba yote.
Sawa tu maana ameshawahi pia.kuwa mchezaji bora wa dunia
Sahau kina pele na maradona Ronaldinho ni kitu kingine,weka mbali takataka kama messi na christiano.Kwenye historia ya mpira ushawahi kumwona nani bonge la shuti katuliza kwa mgongo na ikakaa?
mkuu chini ya Aleyn kuna post yangu ambayo nimekujibu naamini umeiona na umejifunza kitu kat ya messi na dinho ila UKIONA KIMYA UJUE KALIWA asante mkuu kwani ata asahv unaonekana umekuja kiutaratibu baada ya kumjua MESSI LEGENDARY ANAYEZIVUNJA RECOD ZAKE
mkuu una uhakika acha kuzungumza uongo kama hujui kitu kaa kimya sasa hyo copa delay,european super cup,club world championship nazo dinho kachukua? Please usikurupuke kuweka ubishi kwa messi
kwa show game gaucho yuko poa lakini hajadumu kwenye game bana..
Jay Jay Okocha alikuwa na show-game na kuleta impact kwenye timu na amedumu kwa kipindi kirefu, sema tu ni mwafrika ndio maana historia yake imefutika kwa kipindi kifupi
hao wote mliowataja kina pele,maradona,messi,gaucho wote hawamuwezi Salum Kabunda,alikuwa beki hatari anayecheza rafu za hatari...alimrukia mtu juujuu ampiga kwa miguu miwili akiwa hewani mpaka akaitwa ninja!hayo mambo hao kina messi wenu hawajawahi kufanya hivyo Salum Kabunda ni mkali kuliko wote hao!nimemaliza nawasilisha hoja