Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
wangejitoa kwenye ligiAma ingekuwaje utopolo ndo wangenyimwa lile goli la pili kwa upuuzi wa line 2?
Wangeitisha pressAma ingekuwaje utopolo ndo wangenyimwa lile goli la pili kwa upuuzi wa line 2?
Ila utopolo🤣🤣😓Off course bado goli la Zaidi Ndio goli bora kwa sasa likifuatiwa na hili la leo. Povu ruksa
Wangeenda kumrudishia mpakani akitoka nje ya nchi.Kama jamaa yetu wa kususa angefunga goli maridadi kama la Mohamed Hussein Tshabalala unahisi nini kingetokea?
Saa hii wangeshafika kwa mama Samia kushitakiAma ingekuwaje utopolo ndo wangenyimwa lile goli la pili kwa upuuzi wa line 2?
Simba haipo kugombania magoli bora, ila points tatu, magoli mengi na kandanda safi. Hayo magoli bora yanakuja tu kutokana na kandanda safi la kiwango cha juu. Kwa hiyo unatakiwa kuihukumu Simba kwa kutofunga magoli mengi au kutocheza kandanda safiOff course bado goli la Zaidi Ndio goli bora kwa sasa likifuatiwa na hili la leo. Povu ruksa
Najua bado Ligi Kuu ya VPL haijamalizika ila nina uhakika hili Goli la Mohammed Hussein Zimbwe Jr ( alias ) Tshabalala ndiyo linaenda kuwa Goli bora la Msimu.Kama jamaa yetu wa kususa angefunga goli maridadi kama la Mohamed Hussein Tshabalala unahisi nini kingetokea?