Ingekuaje kama Goli la Tshabalala angefunga Ntibanzokiza?

Ingekuaje kama Goli la Tshabalala angefunga Ntibanzokiza?

Off course bado goli la Zaidi Ndio goli bora kwa sasa likifuatiwa na hili la leo. Povu ruksa
 
Steve 100.png
 
Ahahaaaha! ingekuaje kama Mbumbumbu angekuwa Bingwa wa kihistoria Tz bara, walah tungepigwa makofi vibanda umiza.
 
Off course bado goli la Zaidi Ndio goli bora kwa sasa likifuatiwa na hili la leo. Povu ruksa
Simba haipo kugombania magoli bora, ila points tatu, magoli mengi na kandanda safi. Hayo magoli bora yanakuja tu kutokana na kandanda safi la kiwango cha juu. Kwa hiyo unatakiwa kuihukumu Simba kwa kutofunga magoli mengi au kutocheza kandanda safi
 
Kama jamaa yetu wa kususa angefunga goli maridadi kama la Mohamed Hussein Tshabalala unahisi nini kingetokea?
Najua bado Ligi Kuu ya VPL haijamalizika ila nina uhakika hili Goli la Mohammed Hussein Zimbwe Jr ( alias ) Tshabalala ndiyo linaenda kuwa Goli bora la Msimu.

Nawasubiri Watangazi Wanafiki wa Wasafi FM ( ambao pia ni wana Yanga lia lia ) Maulid Kitenge, Yusuph Mkule na Mchambuzi George Job Kesho Jumatatu watasemaje juu ya hili Goli kwani Saido Ntibanzokinza alipofunga Goli la Kawaida sana ( dhidi ya hawa hawa Gwambina FC ) ambalo hata Mwanangu Junior anaweza Kufunga waliliimba ( walilisifia ) Kipindi kizima

Saido Ntibanzonkiza nina uhakika angefunga Goli kama la Tshabalala jana kwa Ushamba wake ( japo amekaa kwa Kubahatisha Ulaya ) angevua kabisa Jezi na Chupi ( Boksa ) yake kisha angezunguka Uwanja mzima na angeomba pia atoke nje ya Uwanja kabisa barabarani aweze Kushangilia.
 
Back
Top Bottom