Kupewa kadi nyekundu ni UTOVU WA NIDHAMU,sasa jibu ni kuwa YANGA SI WATOVU WA NIDHAMU kwahiyo USIENDE KUSUBIRIA BOTI ZA KWENDA ZNZ UWANJA WA NDEGE.Tuweke ushabiki pembeni wadau,
Jana tumeshuhudia game ya miamba wawili wa soka na matokeo yake ni wote kutoshana nguvu(1-1) Yanga akianza kufunga na Simba kuchomoa dakika za lala salama.
Tukashuhudia kadi Nyekundu kwa mchezaji mmoja wa simba Jonas Mkude kipindi cha kwanza na simba kucheza pungufu hata hivyo walitulia na kutoruhusu bao lingine na mwishowe Kichuya kufunga goli kwa Ufundi mkubwa kbsa.
Je ingekua ni Mchezaji wa Yanga ndo amepewa ile kadi na Yanga kucheza Pungufu unadhani wangeweza kuhimili mikikimikiki???
Tujadili Pamoja
Umecheza mpira wa miguu?,tuanzie hapo kwanza siyo tunachoshana tu.Tuweke ushabiki pembeni wadau,
Jana tumeshuhudia game ya miamba wawili wa soka na matokeo yake ni wote kutoshana nguvu(1-1) Yanga akianza kufunga na Simba kuchomoa dakika za lala salama.
Tukashuhudia kadi Nyekundu kwa mchezaji mmoja wa simba Jonas Mkude kipindi cha kwanza na simba kucheza pungufu hata hivyo walitulia na kutoruhusu bao lingine na mwishowe Kichuya kufunga goli kwa Ufundi mkubwa kbsa.
Je ingekua ni Mchezaji wa Yanga ndo amepewa ile kadi na Yanga kucheza Pungufu unadhani wangeweza kuhimili mikikimikiki???
Tujadili Pamoja
Ndio maana nikasema ushabiki tuweke pembeni tuzungumze tu kama ingetokea ivyo Yanga wangeweza kupambana kwa dk zote za mchezo?Kupewa kadi nyekundu ni UTOVU WA NIDHAMU,sasa jibu ni kuwa YANGA SI WATOVU WA NIDHAMU kwahiyo USIENDE KUSUBIRIA BOTI ZA KWENDA ZNZ UWANJA WA NDEGE.
HAIWEZI KUTOKEA YANGA KUKOSA NIDHAMU WANAPOCHEZA NA WAMATOPENI.Ndio maana nikasema ushabiki tuweke pembeni tuzungumze tu kama ingetokea ivyo Yanga wangeweza kupambana kwa dk zote za mchezo?