bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Tuweke ushabiki pembeni wadau,
Jana tumeshuhudia game ya miamba wawili wa soka na matokeo yake ni wote kutoshana nguvu(1-1) Yanga akianza kufunga na Simba kuchomoa dakika za lala salama.
Tukashuhudia kadi Nyekundu kwa mchezaji mmoja wa simba Jonas Mkude kipindi cha kwanza na simba kucheza pungufu hata hivyo walitulia na kutoruhusu bao lingine na mwishowe Kichuya kufunga goli kwa Ufundi mkubwa kbsa.
Je ingekua ni Mchezaji wa Yanga ndo amepewa ile kadi na Yanga kucheza Pungufu unadhani wangeweza kuhimili mikikimikiki???
Tujadili Pamoja