Ingekuaje kama mchezaji Wa Yanga ndo angepewa kadi nyekundu?

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Tuweke ushabiki pembeni wadau,

Jana tumeshuhudia game ya miamba wawili wa soka na matokeo yake ni wote kutoshana nguvu(1-1) Yanga akianza kufunga na Simba kuchomoa dakika za lala salama.

Tukashuhudia kadi Nyekundu kwa mchezaji mmoja wa simba Jonas Mkude kipindi cha kwanza na simba kucheza pungufu hata hivyo walitulia na kutoruhusu bao lingine na mwishowe Kichuya kufunga goli kwa Ufundi mkubwa kbsa.

Je ingekua ni Mchezaji wa Yanga ndo amepewa ile kadi na Yanga kucheza Pungufu unadhani wangeweza kuhimili mikikimikiki???

Tujadili Pamoja
 
Kupewa kadi nyekundu ni UTOVU WA NIDHAMU,sasa jibu ni kuwa YANGA SI WATOVU WA NIDHAMU kwahiyo USIENDE KUSUBIRIA BOTI ZA KWENDA ZNZ UWANJA WA NDEGE.
 
Umecheza mpira wa miguu?,tuanzie hapo kwanza siyo tunachoshana tu.
 
Kupewa kadi nyekundu ni UTOVU WA NIDHAMU,sasa jibu ni kuwa YANGA SI WATOVU WA NIDHAMU kwahiyo USIENDE KUSUBIRIA BOTI ZA KWENDA ZNZ UWANJA WA NDEGE.
Ndio maana nikasema ushabiki tuweke pembeni tuzungumze tu kama ingetokea ivyo Yanga wangeweza kupambana kwa dk zote za mchezo?
 
Wangekata Viuno Uwanjani

Meffi ya Kuku
 
Ndio maana nikasema ushabiki tuweke pembeni tuzungumze tu kama ingetokea ivyo Yanga wangeweza kupambana kwa dk zote za mchezo?
HAIWEZI KUTOKEA YANGA KUKOSA NIDHAMU WANAPOCHEZA NA WAMATOPENI.
 
mara nyingi timu inayocheza pungufu huwa ina ji balance kuendana na pinzani

akili za wengi humu zimefikiria yanga angekuw pinzani alafu simba angecheza vilevile basi goli zingekuw nyingi. kitu ambacho mi AKILI ZA KITOTO.

akili zenu zimeganda kwa kutoa mtu upande wa yanga, ila upande wa simba bado unafikiria mpira uleule
 
Back
Top Bottom