Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 333
- 1,261
Haha!! Noma sana hii.. Maamae!CHAKUSHANGAZA
View attachment 3448827
Tukio hili lilitokea Januari 25, 1995 nchini Uingereza. Ni miaka 30 na miezi kadhsa sasa..
Eric Cantona alimpiga teke la flying kick shabiki aliyekuwa akitolea maneno machafu kila alipogusa mpira!