Ingekuwa familia yangu nimeelekeza haibadiliki ningesema jinga kabisa nawawajibisha.

Ingekuwa familia yangu nimeelekeza haibadiliki ningesema jinga kabisa nawawajibisha.

Hakuna anayejali

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
418
Reaction score
526
Serikali isyoijali hali za wananchi wake ktk huduma mbalimbali kama umeme kukatika Kila mara,dawa hospitali tabu,mabilioni yanaibwa na watendaji wa serikali na serikali haichukiwi hatua ya kuwawajibisha wezi hao.pesa zinazoibiwa zingeweza kutumia ktk mambo ya maendeleo lakini tunajirudisha nyuma kwa uzembe.Ona hali ya bibi huyu anaokota makopo walau apate kujikimu,kungekuwa na utaratibu mzuri wa kuwajali wazee Basi huyu na wengine wangekuwa wanapata walau50000 Kila mwezi wajikimu.Hii ingempunguzia uchungu wa maisha.hadi nimepata na huruma nikamtia hela.wenyewe mpo kwenye mavi8 mishahara minono isiyo na Makato,mafuta bure dhambi.Wakati wa kampeni ndiyo mnawapa kipaombele.
 

Attachments

  • IMG_20230923_115254.jpg
    IMG_20230923_115254.jpg
    93 KB · Views: 1
Back
Top Bottom