Uchaguzi 2020 Ingekuwa katika Nchi za wenzetu, Nyalandu na wenzake wangejitoa na kumuachia Lissu

Nyalandu ni mpita njia anaelekea alikotoka
Hafai kuwa Kiongozi Mkuu wa Nchi
 
Lisu kapoteza sifa so NEC wanamsubiri kwa hamu wamkate bila hata pingamizi.

Chadema tuleteeni Dr Rosemary ........wanawake ni jeshi kubwa!
Lissu ana sifa zote mpaka za ziada, NEC watuletee wagombea wote mpaka rungwe, wananchi tutaamua kwenye sanduku LA kura.
 
Nyalandu ni mpita njia anaelekea alikotoka
Hafai kuwa Kiongozi Mkuu wa Nchi
Naye ajaribu, jambo LA msingi haki itendeke.uwazi utawale.uongozi Wa chama usiegemee kokote, waachwe wajumbe waamue.
 
Bila polis na wakurugenzi safari hii ccm kazi mnayo
 

Nyalandu ndiye Mwenyekiti mpya ajaye wa CHADEMA?.
 
Labda kwa kuiba kura uchakachuaji lakini kwa sanduku la kura CCM haishindi
 
Acheni demokrasia ifuate mkondo wake
 
Watamuachiaje m
Watamuachiaje mtu ambaye kiafya sio timamu hawezi kuinama wala kupiga magoti, kiuno kipo upande, mguu na mkono wa upande mmoja hauwezi kunyooka na kutembea kama kinyonga. Kwa hao wenzetu wanaoachiana wagombea kwa hiari yao wenyewe wanafanyiwa medical examination kuangalia afya zao kama wanaweza kuhimili misuko suko ya hizo nafasi. Isitoshe hata kwenye kuajiriwa kazini shurti upasi medical examination. Nakuomba umshauri mgombea wako ajitoe kwani physically ni unfit au kwa kistaarabu wanasena physically handicap au vipi ndugu yangu.
 
Huna hoja Mkuu, kwani Jpm yuko fiti kiafya? Hujui tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…