Ingekuwa nchi za wenzetu CDM na ACT wazalendo wangemsimamisha mgombea mmoja tu ambaye ni TLMbona mnalazimisha nyalandu ajitoe? Kwa nini msiseme Lisu ndo ajitoe? Kama mnahubiri demokrasia acheni waende mpaka mwisho, atakaeshinda ndio wajumbe watakuwa wamechagua.
Hii ya kusema mara nyalandu ana pesa mara Lisu ni maarufu ni kutaguta kumnyima nyalandu haki yake huko chadema.
Yanapowakuta manaaza kuweweseka, acheni kila mtu apime upepo wake mwenyewe.
Haahaa ukitaka kujua uzuri Wa lissu MPE jukwaa, lissu ana ushawishi.Jpm hats akishinda atashindia padogo sana.member na Jpm, member ataachwa mbali sanaNakwambia Lisu kwa Magu anakanyagwa asbh kweupeee! Afadhari kidogo Member, yaani Lisu hapati hata asilimia 2 ya kura, take it from me!
Kwa nini mnawaza NEC kumuengua lissu? Wagombea wataenguliwa na umma kwenye sanduku LA kura.Nyie muda wote kuhisihisi, Mara ooh akikanyaga tu lissu atakamatwa, yako wapi?What if anapitishwa harafu anawekewa mapingamizi na NEC wanamuondoa kwenye kinyang'anyiro? Maana mda huo hakutakuwa na fursa ya kum replace.Huoni itakuwa ni hasara kubwa mno? Kama akikatwa plan B ikoje?
Ni kazi yao, haki ikatendeke.Lissu asipopitishwa Jpm atakwenda kulala.Sina imani na wajumbe wa mkoani wa CHADEMA, nina wasiwasi wanaweza pindua meza na kumpiga chini Tundu lissu.
Hahah na wao wanajua hilo vzr,si unaona CCM wameshaanza kusema ooh kampeni zitakazoruhusiwa ni kampeni safi tu zisizo na kejeli,zisizokua zinakejeli miradi ya serikali hahah.Haahaa ukitaka kujua uzuri Wa lissu MPE jukwaa, lissu ana ushawishi.Jpm hats akishinda atashindia padogo sana.member na Jpm, member ataachwa mbali sana
Ndo uzuri Wa demokrasia, kazana kumuombea kura.ila Jpm atashangilia sana.Nyalandu kwa upole ule sio Wa kupambana na JpmEwee muumba mbingu na nchi simama pamoja na wajumbe upande wa Nyarandu.
Dah umeandika upumbafu ambao hata mwanao anaweza kusema wewe sio baba yake.Mpaka muda huu, nashindwa kuwaelewa Nyalandu na wenzake kwani nyakati zinambeba Lissu kwa asilimia 100.
Kwa hali ilivyo, ingekuwa ni katika nchi za wenzetu,mfano US, mtu kama Nyalandu naamini angetangaza kujitoa na kumuunga mkono Lissu bila kusubiri kupigwa kura na wajumbe.
Anyway, wacha tusubiri lakini huku ni kushindwa tu kusoma alama za nyakati kwa kisingizio cha demokrasia, demokrasia ambayo haimpi nafasi yeye na wenzake.
Hata hivyo,hii itakuwa ni fursa ya Lissu kuonyesha kukubalika kwake ndani ya chama kulinganisha na wagombea wenzake.
Wacha tusubiri labda kuna wanaopanga kujitoa siku ya kupiga kura kupitisha mgombea na kumuunga mkono Lissu maana siasa ndio zilivyo.
Hahah na wao wanajua hilo vzr,si unaona CCM wameshaanza kusema ooh kampeni zitakazoruhusiwa ni kampeni safi tu zisizo na kejeli,zisizokua zinakejeli miradi ya serikali hahah.
Wanajua Lussu akipanda jukwaani kuna mtu pressure itampanda kwa makombora yatakayoshushwa hapo jukwaani.
Haahaa ombea waweke mdahalo Wa wagombea urais kiswahili na kiingereza, utamjua lissuHahah na wao wanajua hilo vzr,si unaona CCM wameshaanza kusema ooh kampeni zitakazoruhusiwa ni kampeni safi tu zisizo na kejeli,zisizokua zinakejeli miradi ya serikali hahah.
Wanajua Lussu akipanda jukwaani kuna mtu pressure itampanda kwa makombora yatakayoshushwa hapo jukwaani.
Chadema wajinga bado hawajui nini wanataka.Mpaka muda huu, nashindwa kuwaelewa Nyalandu na wenzake kwani nyakati zinambeba Lissu kwa asilimia 100.
Kwa hali ilivyo, ingekuwa ni katika nchi za wenzetu,mfano US, mtu kama Nyalandu naamini angetangaza kujitoa na kumuunga mkono Lissu bila kusubiri kupigwa kura na wajumbe.
Anyway, wacha tusubiri lakini huku ni kushindwa tu kusoma alama za nyakati kwa kisingizio cha demokrasia, demokrasia ambayo haimpi nafasi yeye na wenzake.
Hata hivyo,hii itakuwa ni fursa ya Lissu kuonyesha kukubalika kwake ndani ya chama kulinganisha na wagombea wenzake.
Wacha tusubiri labda kuna wanaopanga kujitoa siku ya kupiga kura kupitisha mgombea na kumuunga mkono Lissu maana siasa ndio zilivyo.
Hahah aaarh hapo ndipo umeua mkuu,watakwambia mdahalo hauleti maendeleo.Haahaa ombea waweke mdahalo Wa wagombea urais kiswahili na kiingereza, utamjua lissu
Kushinikizwa kujitoa ni sasa na kutolewa. Na mada kama hii ni shinikizo tosha.Hivi unaelewa maana ya kujitoa?Kujitoa unajitoa law hiari yako na ni kawaida kabisa na.sio kwa kushinikizwa.
Watu wagumu kue!ewa!
SawaNgumu,hata kama kutafanyika mafekeche
Aliyezaliwa nje ya nchi kawa raisi wa JMT..kweli Bongo shamba la bibiLisu kapoteza sifa so NEC wanamsubiri kwa hamu wamkate bila hata pingamizi.
Chadema tuleteeni Dr Rosemary ........wanawake ni jeshi kubwa!
Nyalandu awe mgombea mwenza wa LissuMpaka muda huu, nashindwa kuwaelewa Nyalandu na wenzake kwani nyakati zinambeba Lissu kwa asilimia 100.
Kwa hali ilivyo, ingekuwa ni katika nchi za wenzetu,mfano US, mtu kama Nyalandu naamini angetangaza kujitoa na kumuunga mkono Lissu bila kusubiri kupigwa kura na wajumbe.
Anyway, wacha tusubiri lakini huku ni kushindwa tu kusoma alama za nyakati kwa kisingizio cha demokrasia, demokrasia ambayo haimpi nafasi yeye na wenzake.
Hata hivyo,hii itakuwa ni fursa ya Lissu kuonyesha kukubalika kwake ndani ya chama kulinganisha na wagombea wenzake.
Wacha tusubiri labda kuna wanaopanga kujitoa siku ya kupiga kura kupitisha mgombea na kumuunga mkono Lissu maana siasa ndio zilivyo.
Acheni demokrasia ichukue mkondoMembe mwenzake ameshaonyesha dalili za kumuunga mkono Lissu ila yeye kakomaa.
Hii sio soka ambayo umapaswa kukomaa hata kama bao moja unalotafuta katika mechi ya fainali kwenye dakika za majeruhi , haliwezi badili matokeo pale mpinzani wako anapokuwa na anaongoza kwa magoli mengi.
WordsIngelikuwa ni nchi za Wenzetu
Mwenyekiti wa Kudumu Chadema Asingeweza Kuzuia wengine Kugombea kiti hicho na kuwa yeye miaka nenda Rudi
Tusubiri....Je akipita mwingne itakuwaje?