Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Ingekuwa Kenya pasingekalika saa hii !! Ccm itatawala miaka 1000 mpaka kizazi Cha WAOGA kifutiliwe mbali ,wenzetu wamepiga hatua kubwa sana kisiasa ...sisi hata mlio wa gitaa tunakimbia hovyo kama kuku wa kisasa ! Ingekuwa Kenya muda huu raila angekuwa anaelekea ikulu na Mitaa yote imefungwa ..Ingekuwa Kenya kalonzo musyoka na Martha kalua wasingekaa kimya viongozi wakuu wa upinzani wakidhihakiwa !! Ingekuwa Kenya hiyo kitu isingeenda !!mpita njia mm