Ingekuwa kina Kayoko na Arajiga ile isingekuwa penati; wana kanuni zao

Refa alichoka tu kukimbiakimbia, akaona ngoja nijimalizie zangu mie...nikachukue mpunga nisepe. Hakuna penalty pale. Narudia, HAKUNA PENALTY PALE. Sema imekuwa poa tu kwa Yanga sababu wameshashinda mara nyingi sana.
 
Kwa muda mrefu Simba amekuwa muhanga wa hawa marefa, mpaka unajiuliza wanafanya hivyo kwa manufaa ya nani? Angalia mechi iliyopita walikataa bao la wazi kabisa la Simba.
 
Waamuzi bongo wana changamoto ila hiki kisiwe kichaka cha kujifichia ukweli ni kwamba misimu hii mnne Simba ni mbovu, tufanye waamuzi hua wanatunyonga mechi za Yanga hizo nyingine mbona hatushindi?
 
Acha uongouongo.
 
Acha uongouongo.
Nyie ndo kina Kisugu uchawa mwingi waamuzi wangenyoosha game ya Singida tulikua tuna draw, au kipigo mechi ya Azam offside za uongo, mechi ya Yanga tulinyimwa goli ila ile offside ya Dube lilikua goli mambo ni mengi
 
Vipi penati ya namungo?
 
Nakumbuka Mwamuzi Mwarabu aliwapa Penati pale Pakome alipogongana na kipa Kamara:
Ikawa kimyaaa
 
Nyie ndo kina Kisugu uchawa mwingi waamuzi wangenyoosha game ya Singida tulikua tuna draw, au kipigo mechi ya Azam offside za uongo, mechi ya Yanga tulinyimwa goli ila ile offside ya Dube lilikua goli mambo ni mengi
Maelezo meeengi,hamna kitu.
 
Hujawahi kujiuliza kwa nini Waamuzi wa Kenya waitwa kuchezesha World Cup na Afcon, au CAFCL na CAFCC, ila wa Tanzania hawaitwi? Jibu umelipata hapo Amani Stadium.
 
Marefarii wa Malawi ni vibaka sugu wanaonuka mlungula na mapenzi (dilemma)kwa tmu wanazoshabika.Hiyo ni red flag kwao.
 
Lakini cha ajabu jinsi simba walivokua mambumbumbu wa mpira laiti kama ile penalt angepewa yanga saiv wangekua wanalalamika eti yanga anabebwa
 
Ngoja nimuulize Mwinyi Zahera na Oruma kama unachokiandika ni sahihi.
NB: Mbona unaandika huku unalia?
 
Back
Top Bottom