Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Waamuzi bongo wana changamoto ila hiki kisiwe kichaka cha kujifichia ukweli ni kwamba misimu hii mnne Simba ni mbovu, tufanye waamuzi hua wanatunyonga mechi za Yanga hizo nyingine mbona hatushindi?Kwa muda mrefu Simba amekuwa muhanga wa hawa marefa, mpaka unajiuliza wanafanya hivyo kwa manufaa ya nani? Angalia mechi iliyopita walikataa bao la wazi kabisa la Simba.
Acha uongouongo.Waamuzi bongo wana changamoto ila hiki kisiwe kichaka cha kujifichia ukweli ni kwamba misimu hii mnne Simba ni mbovu, tufanye waamuzi hua wanatunyonga mechi za Yanga hizo nyingine mbona hatushindi?
Nyie ndo kina Kisugu uchawa mwingi waamuzi wangenyoosha game ya Singida tulikua tuna draw, au kipigo mechi ya Azam offside za uongo, mechi ya Yanga tulinyimwa goli ila ile offside ya Dube lilikua goli mambo ni mengiAcha uongouongo.
Vipi penati ya namungo?Nyie ndo kina Kisugu uchawa mwingi waamuzi wangenyoosha game ya Singida tulikua tuna draw, au kipigo mechi ya Azam offside za uongo, mechi ya Yanga tulinyimwa goli ila ile offside ya Dube lilikua goli mambo ni mengi
Maelezo meeengi,hamna kitu.Nyie ndo kina Kisugu uchawa mwingi waamuzi wangenyoosha game ya Singida tulikua tuna draw, au kipigo mechi ya Azam offside za uongo, mechi ya Yanga tulinyimwa goli ila ile offside ya Dube lilikua goli mambo ni mengi
Sawa dadaMaelezo meeengi,hamna kitu.
Kila unayeona komenti yake unadhani umeshayaona mapaja yaliyo wazi ya dada zako?Sawa dada
Marefarii wa Malawi ni vibaka sugu wanaonuka mlungula na mapenzi (dilemma)kwa tmu wanazoshabika.Hiyo ni red flag kwao.Hujawahi kujiuliza kwa nini Waamuzi wa Kenya waitwa kuchezesha World Cup na Afcon, au CAFCL na CAFCC, ila wa Tanzania hawaitwi? Jibu umelipata hapo Amani Stadium.
Ngoja nimuulize Mwinyi Zahera na Oruma kama unachokiandika ni sahihi.Lakini cha ajabu jinsi simba walivokua mambumbumbu wa mpira laiti kama ile penalt angepewa yanga saiv wangekua wanalalamika eti yanga anabebwa