Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Ingekuwa ni zile nchi zilizoendelea bodi nzima na mkurugenzi wa CRDB wangekuwa wameshajiuzulu ila ni kwakuwa haya mambo tunafanyiana masikini basi tu
Pesa zinakatwa kwenye akaunti kihoe hae na haupati muongozo wowote wa kuirudisha
Miamala inafanyika haifiki kwa mlengwa wakati kwenye akaunti umekatwa.
Simu zao zipo blocked haziendi
Sasa kama unakuta hio uliokatwa au uliotuma haihafika ndio ulitegemea ifanye kitu cha muhimu sana ili ufanikishe jambo muhimu , utafanyaje?