Mkurugenzi anatembelea tawi moja lilipo Dar kutoa ufafanuzi sisi wa huku Ruangwa na wateja wa kule Chunya hata hawaelewi pesa zao zilizopotea na miamala iliyokwama hatma yake ni nini?Ingekuwa ni zile nchi zilizoendelea bodi nzima na mkurugenzi wa CRDB wangekuwa wameshajiuzulu ila ni kwakuwa haya mambo tunafanyiana masikini basi tu
Pesa zinakatwa kwenye akaunti kihoe hae na haupati muongozo wowote wa kuirudisha
Miamala inafanyika haifiki kwa mlengwa wakati kwenye akaunti umekatwa.
Simu zao zipo blocked haziendi
Sasa kama unakuta hio uliokatwa au uliotuma haihafika ndio ulitegemea ifanye kitu cha muhimu sana ili ufanikishe jambo muhimu , utafanyaje?
Hakuna pesa za kudownload,piga kaziNa ukiambiwa utumie Bitcoin unasema ni utapeli View attachment 3470339