FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Usalama wa nchi hii ni jukumu la kila mtanzania, mzalendo anayeilipenda taifa lake kwa dhati.Kwakuwa Usalama wa Taifa ni kama kinyonga wanafiti popote,basi wangevaa uniform za shule ya msingi na sekondari na kuingia madarasani kama wanafunzi ilimradi tu wawe wanajulikana na walimu ili wasichapwe kuzuia matukio ya walimu wanaochapa ovyo kwa kuripoti mapema kwa maafisa elimu na kukaa mabwenini kama wanafunzi.
Mimi mwenyewe nilifeli hesabu Leo nikiambiwa rudi form three kusoma hesabu narudi japo Nina miaka 36,raha tu.mchango wenu jamani.
Hivi vitu vipo angalia series ya 24 siyo siriAisee jitahidi sana kunoa bongo maana ulichoandika hakiendan na umri wako kifikra anyway sijajua kipimo chako cha uzalendo kwa Taifa letu
Hahah mbona unanitishaWakati unaandika uzi huu... Walikuepo hapo ulipo walikua wanakuzoom tu
Mkuu uliwajuaje kwamba wao ni TISS? Halafu wao sio malaika waweze kufundisha masomo ya Arts na Science kwa wakati mmoja kiufupi umewapamba sana ila jamaa ni kawaida sana hasa kwenye nyanja ya Elimu.hicho kitu unachosema wewe kipo tayari
primary nilifundishwa na mwalimu ambae alikuwa ni TISS
secondary nilisoma na mwanafunzi TISS huyu alileta nuksi alifanya tufutiwe matokeo baada ya kusoviwa mtihani[emoji21]
nikarudia tena O level nikafundishwa na mwalimu TISS huyu alikuwa ni kiraka alikuja kama mwalinu wa arts lkn akatupigia mpaka plaki za phy na chemistry
A level nikasoma na kaka yangu ambae yeye alijiunga form five mara ya kwanza kipindi mm nipo rasaba lkn huwa hapandi darasa zaidi ya kuhama shule mbalimbali bad enough huu ni mwaka wa 5 anasoma vyuo mbalimbali kama first year's
Mtu akikosa waredi wa kazi yake ni vyepesi kumgunduaMkuu uliwajuaje kwamba wao ni TISS? Halafu wao sio malaika waweze kufundisha masomo ya Arts na Science kwa wakati mmoja kiufupi umewapamba sana ila jamaa ni kawaida sana hasa kwenye nyanja ya Elimu.
Huo moyo wa kutoa taarifa utatoka wapi wakati wanajiona wao hawana kitu. Hawana mishahara... Tatizo linakuja hapo.. Ila kiukweli ngazi ya chini kabisa ya kijiji.. Ina umuhimu mkubwa sana kuzuia matukio na viashiria vya uharifuWenyeviti wa mitaa kwa kushirikiana na wajumbe wa nyumba 10 wakiona wageni wanaowatilia shaka wanatakiwa watoe taarifa kwa DSO na isijulikane kuwa mwenyekiti ndiye aliyetoa taarifa kwaajili ya usalama wale na familia.
Sijui hii kama inafanyika ..
Tunapaswa kuwa proactive na siyo reactive.
Mwenyekiti wa Kijiji au hata wajumbe wa nyumba 10 wakiona wageni wasiowaelewa watoe taarifa kwa DSO moja kwa moja na walindwe.
Hii inahitaji usiri mkubwa sana!
Tetesi zozote za harufu ya Ugaidi au wahamiaji haramu ziweze kuwa detected mapema kabla ya madhara kutokea.
Kinga ni bora kuliko tiba.
Tuitunze amani ya Taifa letu ili hata vizazi vijavyo viifurahie.
hizo kazi hata police wanafanya. usalama wana kazi nyingi sana serious. si hiz za kitoto kama hizoKwakuwa Usalama wa Taifa ni kama kinyonga wanafiti popote,basi wangevaa uniform za shule ya msingi na sekondari na kuingia madarasani kama wanafunzi ilimradi tu wawe wanajulikana na walimu ili wasichapwe kuzuia matukio ya walimu wanaochapa ovyo kwa kuripoti mapema kwa maafisa elimu na kukaa mabwenini kama wanafunzi.
Mimi mwenyewe nilifeli hesabu Leo nikiambiwa rudi form three kusoma hesabu narudi japo Nina miaka 36,raha tu.mchango wenu jamani.
Hivyi nan ana connection Za kujiunga TISSZamani recruitment ilikuwa inafanyika mapema ila baada ya waliokuwepo kuanza kuingiza watoto na ndugu zao hapo ndio mambo yakaharabika