Ingekuwa ww ndio msahihishaji wa huu mtihani ungefanyaje

Ningemuandikia ni majibu sahihi hila sio yanayostahili/yanayofaa
 
Dah! Yani nimecheka na anavyoaminia pointi zake sasa duh! Mpaka anatilia mkazo kwenye Tax kwamba ni almaarufu kama "vitexi"!
 
Hahahahaa hapo alivyomaliza tu alienda kuhadisia wenzie jinsi alivyochana paper
 
My Godness duh, hatar sana.

Koromijeeeeeeee students, hao ni ma RC watarajiwa so wanahaki kuwa hivyo na kupata hivyo aisee
 
Kwa hali ilivyo ngumu kwa walimu kwenye mishahara, ningempa maksi 100% na kumpongeza.
 
Kuwa Mpole.
Mwalimu yupo kwa ajili ya kusaidia wasio na uelewa kusudi waweze kuelewa. Ila bila juhudi binafsi hakuna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…