Ingekuwaje kama Marekani angeshindwa kwenye vita ya mapinduzi (uhuru) dhidi ya Uingereza?

Akili umezijaza kunako makalio, kwahiyo kisa binadamu ndio awe Rais au Lissu awe Rais?? We unadhani Urais ni Asali kila mtu anaweza kuilamba?????
Haitokaa itokee mnywa mbege atawale nchi hii.
Umeongea ki baguzi utafkiri tupo Burundi au Rwanda

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Original gani unayosema wewe? Ya kutibiwa malaria kwa Kinjekitile na kujisaidia maporini. Ustaarabu aliyoweka Mkoloni wa kupump maji mpaka kufika kila nyumba na kuwa na vyoo vya ndani majiko ya gas na umeme vimemsaidia kupungunza magojwa ya kuambukiza pia ameweza kutunza misitu na kuokoa muda.
Mkoloni amezuia umeme wa Rufiji na SGR visizunguliwe. Mkoloni mbaya sana!
 
Ukoloni ni mbaya sana. Kila wakati ni kujilinganisha na Marekani tuu. Hivi hakuna mifano mingine? Kwani hatuwezi kuwa original? It means hata kama Mbongo akitangulizwa mbele haendi because hajui aende wapi!

This is shameful!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Umeongea ki baguzi utafkiri tupo Burundi au Rwanda

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kuna wabaguzi nchi hii kushinda CHADEMA na WACHAGA????? Naked truth, hao jamaa wanajiona ni exceptional sana. Ni kuwapiga kichwani mpaka akili ziwakae sawa. Wanapaswa kubalance maisha yao, I do hate them kwa kuwaona wenzao ni jamii primitive, yaan sie wengine ni wale wa PRE-CAMBIAN ERA na wao ni INDUSTRIAL ERA.
 
Nilipoionq hiyo avatar ya kifutu kimelala juu ya jiwe nimekudharau sana.
 
Kuna wabaguzi nchi hii kushinda CHADEMA na WACHAGA????? Naked truth, hao jamaa wanajiona ni exceptional sana. Ni kuwapiga kichwani mpaka akili ziwakae sawa. Wanapaswa kubalance maisha yao, I do hate them kwa kuwaona wenzao ni jamii primitive, yaan sie wengine ni wale wa PRE-CAMBIAN ERA na wao ni INDUSTRIAL ERA.
Nenda kagalegale kaburini kwa fascist mfu jiwe.
 
Wadau wana kimataifa ningepata kupata mawzo yenu, je kama marekani ya leo ingeshindwa kwenye vita ya ukombozi dhidi ya taifa mama Uingereza, je hili taifa namba moja kwa uchumi na jeshi duniani lingekuwepo?

Na kwa wale wote walioanzisha hili vuguvugu la ukombozi kingewatokea nini?
Waingereza wasingeweza kuiunganisha Marekani achilia mbali kuitawala kwa amani....... mwishowe wangesalimu amri tu.
 
Ile campaign ya kina George Washington ilikua Sio ya mchezo pale mwingereza angeendeleza vita angekuja kufirisika vibaya sana
Maana alikua anatoa Askari wengi sana nyumbani na kuwapeleka koloni America sababu ya vita mwisho wa siku angekosa Nguvu na angevamiwa na kupigwa huku nyuma!
Ukisoma battle za Saratoga zilikua Hatari waamerica walikua kama nyumbu hawapoi wanakufa 1000 kwenye battle wanakuja wengine 1500 ku replace
Haahhaahahhaa mwingereza akasanda na kula nduki
Maana aliona anaenda kula hasara la karne!
 
Akili umezijaza kunako makalio, kwahiyo kisa binadamu ndio awe Rais au Lissu awe Rais?? We unadhani Urais ni Asali kila mtu anaweza kuilamba?????
Haitokaa itokee mnywa mbege atawale nchi hii.
Kama msukuma alitawala hata mnywa mbege atatawala tu
 
Britain ingefall tu eventually..., kushindwa kwa Great Britain sio sababu ya America (hata hao ni wale wale tu, Wanyanganyi wa Mali za Red Indians, kama vile wenzao kule Australia ni wanyanganyi wa mali za Aborigines ) kushindwa kwao it was impossible kuendelea kuwa na colonies it was physically and financially impossible..., kwanini kuwa-colonise watu physically wakati you can do it mentally....

Ni sawa sawa useme ingekuwaje kama Roman, Ottoman au any other empire isingeanguka...., Its naturally for empires to rise and fall
 
kwa hyo ilikuwa ni lazima Great Britain kushindwa there was no any chance kutusua mbele ya rebels kina Washington.
 
Ile campaign ya kina George Washington ilikua Sio ya mchezo pale mwingereza angeendeleza vita angekuja kufirisika vibaya sana
Maana alikua anatoa Askari wengi sana nyumbani na kuwapeleka koloni America sababu ya vita mwisho wa siku angekosa Nguvu na angevamiwa na kupigwa huku nyuma!
Ukisoma battle za Saratoga zilikua Hatari waamerica walikua kama nyumbu hawapoi wanakufa 1000 kwenye battle wanakuja wengine 1500 ku replace
Haahhaahahhaa mwingereza akasanda na kula nduki
Maana aliona anaenda kula hasara la karne!
lakini alipigana na Mfaransa miaka saba na akamshinda na kumtoa kabisa kwenye kolon lake la Canada.
 
kwa hyo ilikuwa ni lazima Great Britain kushindwa there was no any chance kutusua mbele ya rebels kina Washington.
Sio Washington tu hata kina Gandhi kule India, it was economically and practically impossible ulifika wakati kama vile ulivyofika wakati wa kufanya baadhi ya watu watumwa kuwa impractical
 
lakini alipigana na Mfaransa miaka saba na akamshinda na kumtoa kabisa kwenye kolon lake la Canada.
Kumbuka Mfaransa alikua ni mkoloni mwenzake lakini pale Marekani alikua anapigana na Civilians wanaotaka kua huru Tena wengi wao ni wale waliomiliki uchumi mkubwa wa mashamba makubwa ya kilimo mbalimbali Yaani mabwanyenye,
Pia Kumbuka america lilikua ni eneo ambalo Kila siku walimiminika wahamiaji kutoka ulaya na pande nyingine za Dunia wanaotaka kua free kwenye mambo Yao hivyo iliwapasa wawaondoe waingereza Ili waanze kuishi kwenye sheria mpya na kanuni watazo zipenda wao na sio kupangiwa na watu walio wakimbia huko home country!
 
nakubali
 
Back
Top Bottom