Ingekuwaje kama...Special Thread

Ingekuwaje kama...Special Thread

Joined
Nov 8, 2017
Posts
59
Reaction score
63
Ingekuwaje kama...

1. Binadamu akila chakula mara moja halitena mpaka mwisho wa maisha yake

2. Muda wote upo macho hamna usingizi

3. Jua wala umeme haupo duniani

4. Viumbe wote ni jinsia moja

5. Hakuna matajiri wala masikini

6. Binadamu hana tumbo la kuhifadhia chakula

7. Hakuna simu/mawasiliano

8. Binadamu na viumbe wengine hawana macho ya kutazama na kuona

9. Ukijiunga mara moja bando lolote la simu mfano dakika au intaneti kifurushi kinadumu milele

10. Hakuna Umri kutambua kiumbe fulani kimeishi duniani kwa muda gani

11...

Na wewe weka zako
 
Inaonekana wewe ni serengeti boyz yaanai hajui kama sim zimekuja late 1990’s
 
Kama no 7 haipo number 9 inatoka wapi ?
 
Hizi ni fikra za kukata tamaa, update C.V yako zunguka maofisini acha kulala lala home matokeo umpe ujauzito dada wa kazi bure!!
 
Back
Top Bottom