Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,730
- 9,088
Mauti ya mtu ni siri kubwa, na ni kitendawili kigumu kukitegua.
Ingekuwaje tungejua tutakufa lini?
Nasukumwa kuandika uzi huu baada ya kuondokewa na mpendwa wangu Dunstan Charles, msoma ramani mkongwe wa mbio za magari.
Jana nimeonana naye muda kama huu, nilikuwa nataka anisaidie kuniendesha hadi Iringa, kwenye mbio za magari zilizoandaliwa na kudhaminiwa na CMC automobile, ambazo zitaanzia uwanja wa Samora day 1 yaani kesho na day 2 Sao Hill, lakini alikuwa na ratiba nyingine ya kwenda huko pia.
Kifo hakika ni fumbo kubwa. Wapenda mbio za magari tumepata pigo kubwa sana