Kifo hakizoeleki japo kipoMauti ya mtu ni siri kubwa, na ni kitendawili kigumu kukitegua.
Ingekuwaje tungejua tutakufa lini?
Nasukumwa kuandika uzi huu baada ya kuondokewa na mpendwa wangu Dunstan Charles, msoma ramani mkongwe wa mbio za magari.
Jana nimeonana naye muda kama huu, nilikuwa nataka anisaidie kuniendesha hadi Iringa, lakini alikuwa na ratiba nyingine ya kwenda huko pia.
Kifo hakika ni fumbo kubwa. Wapenda mbio za magari tumepata pigo kubwa sana
Vijana waliokosa malezi watakuja kuandika vitu vya ajabu hapa,mkuu hii iandike inavyotakiwa.Kutokujua siku yako ya kufa ndio ukweli mchungu wa mauti yenyewe.
Mungu ampumzishe mahala pema Navigitor Dan. Jamaa alikuwa pisi mno.
Mwanetu umesoma na Kila mtu aliyekufa hivi karibuni!!R.I.P classmate
Ningejua siku ya kufa
Kabla ya kufa nahakikisha nafia kiunoni mwa mwanamke
Remmy Ongara aliimba kwamba kama angemjua 'Kifo' alipo angeenda kumhonga.Mauti ya mtu ni siri kubwa, na ni kitendawili kigumu kukitegua.
Ingekuwaje tungejua tutakufa lini?
Nasukumwa kuandika uzi huu baada ya kuondokewa na mpendwa wangu Dunstan Charles, msoma ramani mkongwe wa mbio za magari.
Jana nimeonana naye muda kama huu, nilikuwa nataka anisaidie kuniendesha hadi Iringa, kwenye mbio za magari zilizoandaliwa na kudhaminiwa na CMC automobile, ambazo zitaanzia uwanja wa Samora day 1 yaani kesho na day 2 Sao Hill, lakini alikuwa na ratiba nyingine ya kwenda huko pia.
Kifo hakika ni fumbo kubwa. Wapenda mbio za magari tumepata pigo kubwa sana
Kuna parapanda ingine kubwa yaja kabla ya JumatatuMauti ya mtu ni siri kubwa, na ni kitendawili kigumu kukitegua.
Ingekuwaje tungejua tutakufa lini?
Nasukumwa kuandika uzi huu baada ya kuondokewa na mpendwa wangu Dunstan Charles, msoma ramani mkongwe wa mbio za magari.
Jana nimeonana naye muda kama huu, nilikuwa nataka anisaidie kuniendesha hadi Iringa, kwenye mbio za magari zilizoandaliwa na kudhaminiwa na CMC automobile, ambazo zitaanzia uwanja wa Samora day 1 yaani kesho na day 2 Sao Hill, lakini alikuwa na ratiba nyingine ya kwenda huko pia.
Kifo hakika ni fumbo kubwa. Wapenda mbio za magari tumepata pigo kubwa sana
Na Bernard Membe amekwenda hivyo hivyo pia!Mauti ya mtu ni siri kubwa, na ni kitendawili kigumu kukitegua.
Ingekuwaje tungejua tutakufa lini?
Nasukumwa kuandika uzi huu baada ya kuondokewa na mpendwa wangu Dunstan Charles, msoma ramani mkongwe wa mbio za magari.
Jana nimeonana naye muda kama huu, nilikuwa nataka anisaidie kuniendesha hadi Iringa, kwenye mbio za magari zilizoandaliwa na kudhaminiwa na CMC automobile, ambazo zitaanzia uwanja wa Samora day 1 yaani kesho na day 2 Sao Hill, lakini alikuwa na ratiba nyingine ya kwenda huko pia.
Kifo hakika ni fumbo kubwa. Wapenda mbio za magari tumepata pigo kubwa sana
Nyahuni kamuuaNa Bernard Membe amekwenda hivyo hivyo pia!