Ingekuwaje tungezijua siku zetu za kufa?

Kuna formula ukiijua hufi.

1. Kuwa mwema kwa kila jambo na tukio lolote.
2. Kuwa positive kwa kila jambo.

3. Ijue kweli ya Mungu hata kidogo tu, utakishinda kifo. Hapa ndio msingi. Tafuta mtu au watu wanaomjua Mungu wakufundishe umjue na ujue unabii wake hapa Duniani. ( Achana na hawa wachungaji, maaskofu, walimu au manabii hao hawawezi chochote ila wapo watu ni wachache wapole na wakarimu sana wanaweza kukusaidia).
 
Kuna jamaa wako Mwananyamala, wanafundisha siri za ufalme wa mbinguni. Aisee wako vizuri sana
 
Huyo Rafiki yako Dunstan Charles kwa jina jengine ndio Camillius Membe? Maana kifo chake ndio kina trend town!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…