ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Yaani kwa mfano ingekuwa chini ya ID ya mtu inakaa kazi yake anayofanya au knowledge aliyosomea kwenye field fulani ili tuwe tunapokea ushauri au maoni ambao kidogo una uhakika
Let's say "ndege JOHN" kwa chini yake kazi yangu Inaji display labda "tour guide" ili Basi katika maada zinazohusu utalii michango yangu ichukuliwe kwa ukubwa wake.
Sio Kama Sasa hivi mtu kapiga punyeto miaka mitatu halafu anakuja kuanzisha thread kuhusu Madhara yake wakati Kuna ma senior wa CHAPUTA Wana nondo Ila hawafahamiki.kwa hiyo kuwe na Option ya kazi ya mtu au sifa yake ili iweze kusaidia kuhoji ukweli juu ya Jambo fulani..kukosekana kwa hili ndio kunaifanya Mimi Jf niichukie kwa sababu unakuta mwingine hajui hata muundo wa ofisi ya mkuu wa mkoa wala hajui katiba inasemaje lakini unakuta Ni mbishi na anaongea pumba.Tuigeni forum za mambele Kama vile quora kule member wako serious sana mtu unakuta Ni dokta hachangii maada ambazo hazimuhusu anaishia Kuwa msomaji Ila kwa maada zake za afya anajiamini kwa sababu hata pale chini ya jina lake Kuna cheo chake kwamba doctor bingwa fulani na pia akitoa mchango anasikika.huku Jf full vurugu hata watu ambao Wana uwezo mkubwa Wanaishia kudharaulika kwa sababu hatujui wanajishughulisha na nini na kibaya Zaidi wanaogopa kutaja hata kazi zao.ID Fake,Avatar fake mwisho hata kumuamini mtu inakuwa Ni ngumu.Naipenda Jf Ila Kuna mambo yananikwaza sana hasa mambo ya kufuata mkumbo ndo maana mwishowe tunaamua na sisi kuwapandia juu kwa juu.