Ingependeza Kama JF Members wangetambulika kwa professional zao

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Yaani kwa mfano ingekuwa chini ya ID ya mtu inakaa kazi yake anayofanya au knowledge aliyosomea kwenye field fulani ili tuwe tunapokea ushauri au maoni ambao kidogo una uhakika
Let's say "ndege JOHN" kwa chini yake kazi yangu Inaji display labda "tour guide" ili Basi katika maada zinazohusu utalii michango yangu ichukuliwe kwa ukubwa wake.
Sio Kama Sasa hivi mtu kapiga punyeto miaka mitatu halafu anakuja kuanzisha thread kuhusu Madhara yake wakati Kuna ma senior wa CHAPUTA Wana nondo Ila hawafahamiki.kwa hiyo kuwe na Option ya kazi ya mtu au sifa yake ili iweze kusaidia kuhoji ukweli juu ya Jambo fulani..kukosekana kwa hili ndio kunaifanya Mimi Jf niichukie kwa sababu unakuta mwingine hajui hata muundo wa ofisi ya mkuu wa mkoa wala hajui katiba inasemaje lakini unakuta Ni mbishi na anaongea pumba.Tuigeni forum za mambele Kama vile quora kule member wako serious sana mtu unakuta Ni dokta hachangii maada ambazo hazimuhusu anaishia Kuwa msomaji Ila kwa maada zake za afya anajiamini kwa sababu hata pale chini ya jina lake Kuna cheo chake kwamba doctor bingwa fulani na pia akitoa mchango anasikika.huku Jf full vurugu hata watu ambao Wana uwezo mkubwa Wanaishia kudharaulika kwa sababu hatujui wanajishughulisha na nini na kibaya Zaidi wanaogopa kutaja hata kazi zao.ID Fake,Avatar fake mwisho hata kumuamini mtu inakuwa Ni ngumu.Naipenda Jf Ila Kuna mambo yananikwaza sana hasa mambo ya kufuata mkumbo ndo maana mwishowe tunaamua na sisi kuwapandia juu kwa juu.
 
Kwa sababu Mimi napenda sana tunapobadilisha knowledge mtu aseme kile ambacho anakijua azungumze maoni yake kupitia roho na sio kuiga mkumbo wa kutukana na kudhalilishana
 
kuna watu wanafani nyingi, sasa wataandika ipi.
Mfano alipomaliza form four alisomea computer na mapishi, akaendelea na shule, alipomaliza form 6 kusubiri kwenda chuo akasomea udereva na interior design, post za chuo zinatoka akaenda kusomea electrical engineering.
Mtu kama huyu ataandika taaluma gani wakati amesomea vyingi ana vyeti wa taaluma kama vitano hivi.
 
Itakuwa haina mana ya fake ID.Hapo ndipo makarumekenge wataanza kuhisihisi yule atakuwa fulani tu.
 
Yaani kwa mfano ingekuwa chini ya ID ya mtu inakaa kazi yake anayofanya au knowledge aliyosomea kwenye field fulani ili tuwe tunapokea ushauri au maoni ambao kidogo una uhakika
Let's say "ndege JOHN" kwa chini yake kazi yangu Inaji display labda "tour guide" ili Basi katika maada zinazohusu utalii michango yangu ichukuliwe kwa ukubwa wake.
Sio Kama Sasa hivi mtu kapiga punyeto miaka mitatu halafu anakuja kuanzisha thread kuhusu Madhara yake wakati Kuna ma senior wa CHAPUTA Wana nondo Ila hawafahamiki.kwa hiyo kuwe na Option ya kazi ya mtu au sifa yake ili iweze kusaidia kuhoji ukweli juu ya Jambo fulani..kukosekana kwa hili ndio kunaifanya Mimi Jf niichukie kwa sababu unakuta mwingine hajui hata muundo wa ofisi ya mkuu wa mkoa wala hajui katiba inasemaje lakini unakuta Ni mbishi na anaongea pumba.Tuigeni forum za mambele Kama vile quora kule member wako serious sana mtu unakuta Ni dokta hachangii maada ambazo hazimuhusu anaishia Kuwa msomaji Ila kwa maada zake za afya anajiamini kwa sababu hata pale chini ya jina lake Kuna cheo chake kwamba doctor bingwa fulani na pia akitoa mchango anasikika.huku Jf full vurugu hata watu ambao Wana uwezo mkubwa Wanaishia kudharaulika kwa sababu hatujui wanajishughulisha na nini na kibaya Zaidi wanaogopa kutaja hata kazi zao.ID Fake,Avatar fake mwisho hata kumuamini mtu inakuwa Ni ngumu.Naipenda Jf Ila Kuna mambo yananikwaza sana hasa mambo ya kufuata mkumbo ndo maana mwishowe tunaamua na sisi kuwapandia juu kwa juu.
Ww professional yako ni ipi?
 
Wewe chini ya ndege john weka hicho utakacho, sidhani kama jf wanakataza!
 
kwa mimi hapa ni kijiweni,tukianza kusema hizo taaluma zetu, watu wataanza kuogopana, na kutokuwa huru tena.
tutaishia kuwa na matabaka kibao....acha tuendelee kufichana, mengine yataendelea PM
 
Back
Top Bottom