Ingia kwenye ndoa pale unapokuwa tayari kwa ajili ya maisha ya ndoa

Ingia kwenye ndoa pale unapokuwa tayari kwa ajili ya maisha ya ndoa

Oscar Lyrics

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2022
Posts
3,011
Reaction score
5,188
Wapo baadhi wanaoingia kwenye ndoa kwa sababu flani amaeoa/kuolewa, yani hajui kwanini ameingia kwenye ndoa.
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la ndoa kuvunjika kwa sababu mbalimbali kwa mfano,

-Kijana anaamua kuoa lakini unakuta bado ana tabia za mvulana yani bado hawezi skusimama kama kiongozi wa familia,

-Vivyo hivyo Msicha na anaolewa laikini bado ana tabia za vibinti vidogo, hajawa tayari kuwa mama wa familia,

Ingia kwenye ndoa pale unapokuwa tayari na siyo kwa shinikizo la wazazi au mtu yoyote, mwisho wa siku maisha ni yako na utapambana na hali yako.

Maisha ya ndoa ni ya shida na raha, Get married for your own risk.

images (10).jpg
 
Sio ndoa tu,hata mahusiano serious..usiingie sababu tu unataka mpenzi au kupendwa,ingia pale unapoona upo tayari kua na mtu,kuanzia ku behave, kutimiza majukumu,afya yako ya akili, mwili, uchumi,kukubali kua committed na mengine mengi,zaidi ya hapo Jiandae kusema huna bahati na mapenzi kila leo
 
Ndoa ni maisha haina fomular. Ukiwadanganye wajiandae watapata ZERO, yani no ndoa no watoto.
 
Sio ndoa tu,hata mahusiano serious..usiingie sababu tu unataka mpenzi au kupendwa,ingia pale unapoona upo tayari kua na mtu,kuanzia ku behave, kutimiza majukumu,afya yako ya akili, mwili, uchumi,kukubali kua committed na mengine mengi,zaidi ya hapo Jiandae kusema huna bahati na mapenzi kila leo
kwa Mwanaume jipapange Kiuchumi kwanza husiano wa Kimapenzi ni pesa, Pia Ndoa inaitaji pesa, Hakikisha una njia za kuingiza mtonyo ndo uoe,
Mwanamke yeye kishapewa na MUNGU kinachomuweka kwenye Uhusiano au mapenzi.
 
Naombeni mwenye namba ya mama angu amwambie haya..

Maana yeye toka mjuzi anakomalia kuoa tuu sijui anajua mwanae ni CEO hapa narco.

Mi na ndoa au mahusiano serious naona ni vtu viwili tofauti aisee tena kwa sasa ndo kabisa naona no money no seriously relationship maana utajikuta unamtesa mtoto wa watu tu....

Bora ukaze tu.
Kingine vijana tusidanganyane kuwa mtoto ni baraka au ndoa ni baraka

Ubaraka wa ndoa unakuja baada ya kuwa financial stable..
Uwezo wa kusomesha mtoto wako.

Na sio kuanza kusumbua ndgu kuhusu malezi ya mtoto ambaye mnavyo mtafuta hamkushirikisha..

Kwa sasa nina uwezo wa kuoa na kuhudumia kila kitu.
Ila siwezi fanya hvo mpaka nipate mtu understanding mno..

Ndoa na mahusiano yapo kumkandiza kijana wa kiume mpambanaji
 
kwa Mwanaume jipapange Kiuchumi kwanza husiano wa Kimapenzi ni pesa, Pia Ndoa inaitaji pesa, Hakikisha una njia za kuingiza mtonyo ndo uoe,
Mwanamke yeye kishapewa na MUNGU kinachomuweka kwenye Uhusiano au mapenzi.
Hela sababu pia ya kumtuliza mwanamke ila sio "kila kitu" unaweza kua na hela zako ukapigiwa au ukaachwa,Papa pia kwa mwanamke sio kila kitu, wengine wamejiongeza wanatoa hadi tako bado wanaachwa. Since mtu huwezi kua na kila kitu,basi uwe navyo vichache au uwe na mtu atakae ona una kila kitu
 
Sahihi laikini Mimi naamini ktk Hela kama Hautonipenda mm Basi utapenda hata pesa zangu nami nitapata ninachotaka kupitia pesa zangu.
 
Back
Top Bottom