Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 3,011
- 5,188
kwa Mwanaume jipapange Kiuchumi kwanza husiano wa Kimapenzi ni pesa, Pia Ndoa inaitaji pesa, Hakikisha una njia za kuingiza mtonyo ndo uoe,Sio ndoa tu,hata mahusiano serious..usiingie sababu tu unataka mpenzi au kupendwa,ingia pale unapoona upo tayari kua na mtu,kuanzia ku behave, kutimiza majukumu,afya yako ya akili, mwili, uchumi,kukubali kua committed na mengine mengi,zaidi ya hapo Jiandae kusema huna bahati na mapenzi kila leo
Hela sababu pia ya kumtuliza mwanamke ila sio "kila kitu" unaweza kua na hela zako ukapigiwa au ukaachwa,Papa pia kwa mwanamke sio kila kitu, wengine wamejiongeza wanatoa hadi tako bado wanaachwa. Since mtu huwezi kua na kila kitu,basi uwe navyo vichache au uwe na mtu atakae ona una kila kitukwa Mwanaume jipapange Kiuchumi kwanza husiano wa Kimapenzi ni pesa, Pia Ndoa inaitaji pesa, Hakikisha una njia za kuingiza mtonyo ndo uoe,
Mwanamke yeye kishapewa na MUNGU kinachomuweka kwenye Uhusiano au mapenzi.
Sahihi laikini Mimi naamini ktk Hela kama Hautonipenda mm Basi utapenda hata pesa zangu nami nitapata ninachotaka kupitia pesa zangu.Hela sababu pia ya kumtuliza mwanamke ila sio "kila kitu" unaweza kua na hela zako ukapigiwa au ukaachwa,Papa pia kwa mwanamke sio kila kitu, wengine wamejiongeza wanatoa hadi tako bado wanaachwa. Since mtu huwezi kua na kila kitu,basi uwe navyo vichache au uwe na mtu atakae ona una kila kitu