Ingieni kwenye page ya Ntibazonkiza kule Insta, anadai wanampigia simu kumrubuni

Mambo mengine bana ya kijinga sana, Saido Ntibazonkiza amelalamika kwenye kurasa yake ya insta, akisema mbona mapema sana. Kauli hiyo inaashiria kuwa ametafutwa na jamaa zetu wa utopolo ili acheze chini ya kiwango au ajivunje, ndio maana mnaishia raundi ya kwanza ligi ya mabingwa, shenz kabisa

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Mimi ni mwana Simba SC na siipendi Yanga SC hakuna asiyejua ila sijawahi kuwa Mshamba, Muongo na Mpumbavu kama hivi ulivyo.

Shame on You... !!!!!!
 
Mambo mengine bana ya kijinga sana, Saido Ntibazonkiza amelalamika kwenye kurasa yake ya insta, akisema mbona mapema sana. Kauli hiyo inaashiria kuwa ametafutwa na jamaa zetu wa utopolo ili acheze chini ya kiwango au ajivunje, ndio maana mnaishia raundi ya kwanza ligi ya mabingwa, shenz kabisa

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Punguza ujinga
 
Screenshot_20221027-220044.jpg
Mwana wa mfalme kapeleka maumivu makali kambi ya mbumbumbu. Msimshangae huyo bwegenazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo mengine bana ya kijinga sana, Saido Ntibazonkiza amelalamika kwenye kurasa yake ya insta, akisema mbona mapema sana. Kauli hiyo inaashiria kuwa ametafutwa na jamaa zetu wa utopolo ili acheze chini ya kiwango au ajivunje, ndio maana mnaishia raundi ya kwanza ligi ya mabingwa, shenz kabisa

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Ntibanzokiza hawezi kuwa na Raha kucheza Geita Gold wakati amepishana na Taji dirisha dogo. Siwatetei Yanga lakini huwezi toka Yanga na kiwango ukafurahia kucheza GGF.
 
Mambo mengine bana ya kijinga sana, Saido Ntibazonkiza amelalamika kwenye kurasa yake ya insta, akisema mbona mapema sana. Kauli hiyo inaashiria kuwa ametafutwa na jamaa zetu wa utopolo ili acheze chini ya kiwango au ajivunje, ndio maana mnaishia raundi ya kwanza ligi ya mabingwa, shenz kabisa

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Wewe na Ntibanzonkiza ni wapumbavu Sana.Kwani Ntibanzonkiza ana nini? Kwani si alifukuzwa kwa utovu wa nidhamu? Angekuwa muhimu angefukuzwa? Kama vichwa vyenu kazi yake ni kubeba nywele,basi tumieni masaburi kufikiri
 
Back
Top Bottom