GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mimi ni mwana Simba SC na siipendi Yanga SC hakuna asiyejua ila sijawahi kuwa Mshamba, Muongo na Mpumbavu kama hivi ulivyo.Mambo mengine bana ya kijinga sana, Saido Ntibazonkiza amelalamika kwenye kurasa yake ya insta, akisema mbona mapema sana. Kauli hiyo inaashiria kuwa ametafutwa na jamaa zetu wa utopolo ili acheze chini ya kiwango au ajivunje, ndio maana mnaishia raundi ya kwanza ligi ya mabingwa, shenz kabisa
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Shame on You... !!!!!!