GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mimi ni mwana Simba SC na siipendi Yanga SC hakuna asiyejua ila sijawahi kuwa Mshamba, Muongo na Mpumbavu kama hivi ulivyo.Mambo mengine bana ya kijinga sana, Saido Ntibazonkiza amelalamika kwenye kurasa yake ya insta, akisema mbona mapema sana. Kauli hiyo inaashiria kuwa ametafutwa na jamaa zetu wa utopolo ili acheze chini ya kiwango au ajivunje, ndio maana mnaishia raundi ya kwanza ligi ya mabingwa, shenz kabisa
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Punguza ujingaMambo mengine bana ya kijinga sana, Saido Ntibazonkiza amelalamika kwenye kurasa yake ya insta, akisema mbona mapema sana. Kauli hiyo inaashiria kuwa ametafutwa na jamaa zetu wa utopolo ili acheze chini ya kiwango au ajivunje, ndio maana mnaishia raundi ya kwanza ligi ya mabingwa, shenz kabisa
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Acha unafiki wewe . Mi nyuzi yako kibao imo humu na haina tofauti na Uzi huu. Halafu utopolo sio wa kuwawekea dhamana.Mimi ni mwana Simba SC na siipendi Yanga SC hakuna asiyejua ila sijawahi kuwa Mshamba, Muongo na Mpumbavu kama hivi ulivyo.
Shame on You... !!!!!!
yaan wana uchoko(ukabwili) mwingi sana!Utopolo bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196]
Ntibanzokiza hawezi kuwa na Raha kucheza Geita Gold wakati amepishana na Taji dirisha dogo. Siwatetei Yanga lakini huwezi toka Yanga na kiwango ukafurahia kucheza GGF.Mambo mengine bana ya kijinga sana, Saido Ntibazonkiza amelalamika kwenye kurasa yake ya insta, akisema mbona mapema sana. Kauli hiyo inaashiria kuwa ametafutwa na jamaa zetu wa utopolo ili acheze chini ya kiwango au ajivunje, ndio maana mnaishia raundi ya kwanza ligi ya mabingwa, shenz kabisa
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Wewe na dilunga tofauti yebu ni nini?yaan wana uchoko(ukabwili) mwingi sana!
Wewe na Ntibanzonkiza ni wapumbavu Sana.Kwani Ntibanzonkiza ana nini? Kwani si alifukuzwa kwa utovu wa nidhamu? Angekuwa muhimu angefukuzwa? Kama vichwa vyenu kazi yake ni kubeba nywele,basi tumieni masaburi kufikiriMambo mengine bana ya kijinga sana, Saido Ntibazonkiza amelalamika kwenye kurasa yake ya insta, akisema mbona mapema sana. Kauli hiyo inaashiria kuwa ametafutwa na jamaa zetu wa utopolo ili acheze chini ya kiwango au ajivunje, ndio maana mnaishia raundi ya kwanza ligi ya mabingwa, shenz kabisa
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
unaweza ukakuta nae ni mchambuzi kwenye redioHivi unapata wapi ujasiri wa kuanzisha mada ambayo haina ushahidi wowote! Unaleta habari zako za insta, jamii forums!!
Ukiitwa mbumbumbu utafurahi, au utanuna?