Ingiza hela kwa kutumia Accounts za Social Media

ForeverMore

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2014
Posts
812
Reaction score
1,939
Kama wewe una account kama Facebook page, Twitter au LinkedIn na zina followers waliofika 10,000 na zaidi, ni PM nikupe mchongo.

Mfumo ndo naendelea kuuweka sawa, tumeshaongea na makampuni kadhaa kinachohitajika ni proof of concept yaani waone kuna pages kiasi gani na zina followers wangapi.

Mchongo upo hivi, kuna system ambayo naweza kukuinvite na unaweza connect social account zako unazotaka kuzitumia.

The idea ni kuwa ambassador wa makampuni na bidhaa mbalimbali. Ilivyo, unaconnect social media, then sisi tuna tafuta makampuni ya kuwafanyia social media marketing amabo tutawatengenezea matangazo na kuyaweka kwenye hiyo system.

Yataonekana kama hivi:

Wewe utachagua matangazo unayotaka na kushare kwenye social media account yako. Kila unaposhare unapata points, watu wakiomment, retweet au click them, unapata point pia. Hizo point unaweza kuzitumia kupata rewards ambazo zinakuwa zimewekwa kwenye system. Rewards inaweza kuwa hela, simu, headphone, ticket za kwenda movie au kwenye show, kreti za bia, vocha na kadhalika. Zawadi hutegemea kampuni tutakazokuwa tunazitangaza.

Kwahiyo, the more una share the more unapata point. Kila member anaweza ku connect mpaka account 10 za social media. Tunataka account zenye followers wengi ili clients waone tangazo lao litawafika watu wengi na waweze kutoa zawadi nzuri zaidi kwa members.

Kwa hiyo, kama una ukawa unaongeza accounts ili uweze kupata points nyingi zaidi.

Wewe utaweza pia ku schedule matangazo yajipost yenyewe.

Kwa mfumo huu, wewe unaendelea kutumia page yako kama kawaida, wewe unaamua cha kupost. Hupati tabu ya kutafuta matangazo ya kupost.

Ni muda sasa sisi vijana kuweza kutumia mitandao ya kijamii kwa faida pana zaidi.

PM namba yako na account yako ina followers wa ngapi. Kumbuka ni Facebook pages, Twitter na LinkedIn. Instagram na Facebook groups zinakuja soon.
 
Hebu tupe testimimony yako,wewe umeingiza kiasi gani kwa wastani ili kutuimpress na tupe ushahidi mkuu
 
Page yangu ina 2500+ sina sifa
 
Hebu tupe testimimony yako,wewe umeingiza kiasi gani kwa wastani ili kutuimpress na tupe ushahidi mkuu
Nadhani umesoma hayo maelezo vizuri, kama una social media na unadhani ungependa kufanya hii kitu, ni cheki PM ili nikupigie, kama hutoipenda au hutotaka si utasema tu kuwa hutaki.
 
Page yangu ina 2500+ sina sifa
Issue ni kuwa, kadri page yako itakavyokuwa na likes nyingi, ndivyo utakavyoweza kupata zaidi. Maana ni ishu ya Social Media Marketing isiyo na stress.

Ni PM kwa maelezo zaidi.
 
Issue ni kuwa, kadri page yako itakavyokuwa na likes nyingi, ndivyo utakavyoweza kupata zaidi. Maana ni ishu ya Social Media Marketing isiyo na stress.

Ni PM kwa maelezo zaidi.
Samahani , naomba kuona wewe muhusika mkuu ulivyonufaika na hiyo project yako ili na mimi niwe impressed
 
Nadhani umesoma hayo maelezo vizuri, kama una social media na unadhani ungependa kufanya hii kitu, ni cheki PM ili nikupigie, kama hutoipenda au hutotaka si utasema tu kuwa hutaki.

Kabla ya Pm ni vizuri ungetuimpress hapa hapa kwa testimony utakayoitoa,mambo ya pm yanafikirisha sana,kama kitu ni royal why pm?
 
Kabla ya Pm ni vizuri ungetuimpress hapa hapa kwa testimony utakayoitoa,mambo ya pm yanafikirisha sana,kama kitu ni royal why pm?
Sihitaji kumu impress mtu aisee. Kama hutaki basi siyo lazima.
 
Sina page ila miongoni mwa admins wa page yenye member zaid ya laki
 
Naomba website yenu tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…