ForeverMore
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 812
- 1,939
Kama wewe una account kama Facebook page, Twitter au LinkedIn na zina followers waliofika 10,000 na zaidi, ni PM nikupe mchongo.
Mfumo ndo naendelea kuuweka sawa, tumeshaongea na makampuni kadhaa kinachohitajika ni proof of concept yaani waone kuna pages kiasi gani na zina followers wangapi.
Mchongo upo hivi, kuna system ambayo naweza kukuinvite na unaweza connect social account zako unazotaka kuzitumia.
The idea ni kuwa ambassador wa makampuni na bidhaa mbalimbali. Ilivyo, unaconnect social media, then sisi tuna tafuta makampuni ya kuwafanyia social media marketing amabo tutawatengenezea matangazo na kuyaweka kwenye hiyo system.
Yataonekana kama hivi:
Wewe utachagua matangazo unayotaka na kushare kwenye social media account yako. Kila unaposhare unapata points, watu wakiomment, retweet au click them, unapata point pia. Hizo point unaweza kuzitumia kupata rewards ambazo zinakuwa zimewekwa kwenye system. Rewards inaweza kuwa hela, simu, headphone, ticket za kwenda movie au kwenye show, kreti za bia, vocha na kadhalika. Zawadi hutegemea kampuni tutakazokuwa tunazitangaza.
Kwahiyo, the more una share the more unapata point. Kila member anaweza ku connect mpaka account 10 za social media. Tunataka account zenye followers wengi ili clients waone tangazo lao litawafika watu wengi na waweze kutoa zawadi nzuri zaidi kwa members.
Kwa hiyo, kama una ukawa unaongeza accounts ili uweze kupata points nyingi zaidi.
Wewe utaweza pia ku schedule matangazo yajipost yenyewe.
Kwa mfumo huu, wewe unaendelea kutumia page yako kama kawaida, wewe unaamua cha kupost. Hupati tabu ya kutafuta matangazo ya kupost.
Ni muda sasa sisi vijana kuweza kutumia mitandao ya kijamii kwa faida pana zaidi.
PM namba yako na account yako ina followers wa ngapi. Kumbuka ni Facebook pages, Twitter na LinkedIn. Instagram na Facebook groups zinakuja soon.