The daughter takes after her father🏃♂️🏃♂️Daughter 🙌🏿🙌🏿😂😂🏃🏿🏃🏿🏃🏿
Naona hujafunga kilinge chako😁😀😀😀 Seriously nina hiyo hali huwatokea wengj tuu
We acha tu🤣😀😀😀 Seriously nina hiyo hali huwatokea wengj tuu
Washenzi wameifanya jF kama bangi kuifungua hadi VPNKila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliowakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi
Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia chochote upate like
Nyakati zile zimepita na kutuachia kumbukumbuku mujarabu
Vp kuhusu haya maingizo mapya! Yana maajabu?😂
Nani ni nani kwenye nini?
Wataje/Mtaje ama
Waalike/Mualike..💪🏿💥
Hata zile couple mpya pia💕View attachment 3568009
Lol 😆Daughter kilinge nilishafunga 3 years back.. Hii ni software tuu😀
Au tuandamane 🏃♂️Washenzi wameifanya jF kama bangi kuifungua hadi VPN
Hivi hii haiwezi kurudiwa kwa ajili yangu?Hapo zamani😀
View attachment 3568965
Aaah nimeisha😂😀 sio nzuri maana sio asili na haina uhalisia.. SIKUSHAURI!.. maana ikija kuisha nguvu shida hurejea maradufu.. Na kila baada ya muda itabidi ufanye service😀
Sijawahi ni fix tuUliwahi kufanya!?🥺
🔥🔥🔥Sibishani na mjinga mimi, mbamizwa kobaa cc secretarybird