Ingredients of treason in Tanzania: Je Lissu katenda yapi/lipi kati ya haya

"The starting point of any prosecutor or defence in a criminal case is not precedence (but looking at the facts of the case)."
Intent: Suggests that cases begin with facts, not legal precedent.
''Precedence" is the wrong word — you likely meant "precedent" (legal rulings from previous cases).
It's misleading. While facts are primary, legal precedent is still important for interpreting the law and guiding arguments.
 
You are very correct!1 Lakini literature inasema hivyo, may be let us first define the word "ingredient"/elements
Mkubwa law is social science ‘discipline’.

Its rules are underpinned from
various philosophies and prominent scholars thinking; same as in other disciplines.

Only that law is concerned with morals ethical values and just.

Hizo rules azijaibuka tu from nowhere. Kuna maandishi luluki, ethical na moral justifications.

There is no such thing as literature nor ingredients in criminal offences; but there is burden of proof (hiyo nayo ni story nyingine ndefu).

You do know, haki za mfungwa mawakili wa Lissu wameokotea JK kutoka kwenye post yangu.

Sasa trust me, nikikwambia leave it, hayo mambo unayoongelea ufafanuzi wako ni simple.

Muda wa kulała huku
 
Learn the heirachy of laws, first; before you write such nonsense (sorry for my offensive language, I kind do that; when I am tired).

Ciao
 
unatazama hoja kwa kioo chako na kwa hisia zako na matakwa yako,hivyo ndivyo utakavyoamua,lakini siku zote jitahidi kuwa neutral unapochambua mambo ili uupate ukweli sahihi
 
unatazama hoja kwa kioo chako na kwa hisia zako na matakwa yako,hivyo ndivyo utakavyoamua,lakini siku zote jitahidi kuwa neutral unapochambua mambo ili uupate ukweli sahihi
Siku zote kila mtu anatazama hoja kwa kutumia ''upande wake''. Huwezi kutazama hoja kutumia akili za wengine na kama unafanya hivyo basi ujue wewe ni kilaza. Mimi natazama hoja kwa kutumia experince na elimu yangu. Kuwa neutral ndiyo huku sasa i.e hutumii mitazamo ya wengine.
 
Learn the heirachy of laws, first; before you write such nonsense (sorry for my offensive language, I kind do that; when I am tired).

Ciao
Dear, I am not offended by your comment that I wrote nonsense. What seems like nonsense can sometimes just depend on one’s perspective or understanding!
 
There is no such thing as literature nor ingredients in criminal offences; but there is burden of proof (hiyo nayo ni story nyingine ndefu).
kwahiyo waandishi wote , dunia nzima wanakosea wanaposema ingredients? Very strange!

You prove what? naanza kuchoka !
 
kwahiyo waandishi wote , dunia nzima wanakosea wanaposema ingredients? Very strange!

You prove what? naanza kuchoka !
Leta mfano wa article moja tu uliyotumia neno ingredients, kwenye kuelezea legal matter.

With reference hata ya website, hakuna matumizi ya neno ingredient kwenye legal vocabulary.

Ingredients (recipe), mainly in cooking; that’s not a legal terminology.
 
usianze kunipa mashaka...........,,hakuna nini? Legal vocabulary? ingredients? kwaheri
 
So far so good!all boil to one important conclusion: If you exclude pointing a gun to a president, the rest need collaboration of more than ONE INDIVIDUAL. Naomba maoni yako tuifunze kitu hapa seems unayajua haya mambo
 
Kwa hiyo Wewe ni Londoner!
 

kutoka kwenye mtandao

In legal terms, uasi (Swahili for rebellion or revolt) does not automatically equate to uhaini (treason), though they are closely related penal offenses concerning state security.

Differences Under the Law

    • Uasi (Rebellion / Revolt): Refers to open, organized, or forceful resistance against authority, laws, or established procedures by a group or individuals, which may involve civil disobedience or public disruption without necessarily aiming to overthrow the sovereign government.
    • Uhaini (Treason): Is a specific, gravest-tier crime involving a direct breach of allegiance to the state—such as actively conspiring to overthrow the lawfully constituted government, levying war against the republic, or aiding foreign enemies.

Key Distinctions
    • Scope: Rebellion is a broader category of resistance against rules or authorities, whereas treason has strict, narrow legal elements centered on national betrayal and overthrow. [1]
    • Overlap: An extreme or armed rebellion aimed at violently unseating the government can cross the threshold into treason, but peaceful or localized acts of defiance, public dissent, or political protest classified as rebellion/incitement do not legally equal high treason.
 
Nilishangaa mahakama ilipokataa pingamizi la Lissu kwamba information haioneshi kosa la uhaini, mahakama ikasema hayo yatajulikana baada ya ushahidi wa Jamhuri.
 
Uhaini ni tendo sio maneno

Hawa mawakili wa serikali waliokubali kutetea huu ujinga nao ni wajinga tu!!

Wakili makini hasingechukua hii kesi ya kijinga!!
Watumishi wa serikali ni kikundi Cha watu wasiojielewa. Embu fikiria mtu na akili yake anakesha kwenye mwenge? Kisa anamuogopa afisa utumishi ambaye ana elimu kama yy au hata kumzidi?
Fikiria mtu anaingia na kura fake zilizopigwa na kuzisokomeza kwenye masanduku Ili ccm ishinde baada ya uchaguzi analalamika mshahara mdogo
Ndo mana wale wa cwt acha yawakute pumbavuu
 
Unadhani hawajui? Wanajua vizuri ila wanatumwa kufanya upumbavu. They are not stupid
 
Kama Ndunguru angelitumia test as elucidated in this case, then Lisu has no case to answer.
 

Nimejaribu kuona tena andiko lako na kulifanyia search kidogo. Hiyo niy nliyopata kutoka AI

your writing above: An act, has various definitions from the law, which include; execution of the intention or public incitement or planning to commit.

In legal terms, an "act" in the context of treason refers to an overt, physical deed—such as executing an intention, planning, or public incitement—that openly manifests a treasonous design against the state. [1, 2]

Core Legal Meanings of an "Act" in Treason
    • Overt Act: A physical, open deed or action done to further the crime, rather than a hidden thought or mere intent. [1, 2]
    • Execution of Intention: Carrying out a pre-arranged plan or putting a treasonous scheme into motion. [1]
    • Planning and Preparation: Conspiring, devising, or taking preparatory steps (like gathering arms) to levy war or overthrow the government. [1, 2]
    • Public Incitement: Urging, instigating, or declaring intentions publicly to provoke an armed invasion or rebellion against state authority
    SASA LISU KATENDA LIPI KATI YA HAYO
    naomba maoni yako kama darasa kidog tuchangmshe ubongo kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…