Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
Labda iumbwe Dunia nyingine, lakini kwa hii Dunia Haitokaa itokee kumbe Kingine kama Mess🙁 Messi? Watoto mnasumbua mno jf... Weka rekodi za Gaucho na mimi nitaweka za mfalme..gaucho hajafikia hata theluthi yake...nasema hivi..Messi hana mpinzani na haitatokea kwa mchezaji yeyote kuvunja rekodi zake huyu kiumbe, labda baada ya miaka 200,na hapo hatutokuwepo tena duniani....