Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

Hivi wewe una akili kweli?,Iniesta kazaliwa 1984 ana miaka 32,na Gaucho kazaliwa 1980 na ana miaka 36,fuatilia historia zao mzee
Kama umeshindwa kumuelewa huyu jamaa alichokisema kuhusu hiyo miaka basi una kila sababu ya kumpinga.

Embu kaa chini na utafakari alichosema.
 
Haa wewe, eti Dinyo na Iniesta! Yani Dinyo ni jiwe Iniesta ni Nazi
 
Hivi wewe una akili kweli?,Iniesta kazaliwa 1984 ana miaka 32,na Gaucho kazaliwa 1980 na ana miaka 36,fuatilia historia zao mzee

Inaonyesha wewe unaakili mingi sana, hadi unashindwa kuelewa alichokisema? Kati yako wewe na yeye nani mjinga hapo?

Nikiwaambia madazi fans mnabisha haya sasa.
yeye anamaanisha miaka 28 kufukuzwa kwake Barcelona, sijui umenielewa? Au nianze kufundisha kama wa darasa la pili?

Creo que me ha entendido hasta entonces, adiós.

Mjomba point yangu umeielewa!?

Gaucho mpira ulimuisha alivyokuwa na miaka 28 mpk akafukuzwa Barcelona

Inawezekana hata Gaucho mwenyewe hamjui, hawa ndio wafuata mkumbo hawajui kinachoendelea maskini ya mungu,wakisikia jina kubwa wanachanganyikiwa
 
Kama umeshindwa kumuelewa huyu jamaa alichokisema kuhusu hiyo miaka basi una kila sababu ya kumpinga.

Embu kaa chini na utafakari alichosema.

Gang Chomba kawaleta watoto wake wasumbue humu,hata umri wenyewe wakufukuzwa Barca hawajui teh teh teh teh teh hatari aisee,
 
Gang Chomba kawaleta watoto wake wasumbue humu,hata umri wenyewe wakufukuzwa Barca hawajui teh teh teh teh teh hatari aisee,
Mimi ni shabiki, kama tunazungumzia suala la kupaka mpira rangi basi Gaucho ni noma ila kwa soka la ushindani Iniesta ni mashine.

Kikubwa zaidi ni nidhamu yake, ndani na nje ya uwanja.
 
Messi ni mcheza mzuri lakini kiwango chake hakijafikia kile cha Gaucho na wala hakitafikia. Huo ndiyo ukweli wa mambo.

Kwa vigezo gani? yani umewaruka wote waliomzidi mbali gaucho? Iniesta,requelme,de lima,Zidane, pele na Diego Armado? sasa unakuja na ukashata wako hapa, unasema gaucho kamzidi messi? messi huyu huyu? mchezaji bora mara 5? mchezaji aliezidi wachezaji wote hao,na hadi sasa hana mpinzani?

nawaambia mtapata maradhi ya moyo bure kwa ajili ya messi. Messi ataendelea kua juu zaidi
 
Kashata baba yako na mama yako.

We jombaa jibu hoja acha matusi wewe,wamekukosea nini wazazi wake hadi uwatusi? Kuwa mstaarabu basii, hapa sio fesbook bwana mdogo.naona povu limekutoka.

INVISIBLE mpigeni ban huyu BAK, ili siku ingine ajifunze.
 
Acha ujinga wewe nani alianza kurusha matusi!?
Sina cha kujifunza chochote toka kwako, akili yako finyu siihitaji hata chembe.

Hana mpya huyo, mpuuzie mbali!
 
Acha ujinga wewe nani alianza kurusha matusi!?
Sina cha kujifunza chochote toka kwako, akili yako finyu siihitaji hata chembe.

Hata km kaanza yeye lakini sio ukimbile kwa wazazi, kwan Wazazi wamikukosea nini? Ok Hatuwez kukulaumu May be hujalelewa katika malezi bora ndio mana ukaenda straight kwa wazaz, ebu kua mstaarabu kidogo.
 
Gaucho kacheza vizuri kwa kipindi kifupi iniesta kacheza vizuri kwa muda mrefu na bado anacheza vizur tena katika kizaz hatari
 
sio sawa kumfananisha master of the ball control-gaucho na mambo ya kijinga kijinga
 
Kwa upande wangu Gaucho ni hatari zaidi, n amepata kila kitu kwenye carrier yake kuanzia world cup, eufa na mchezaji bora wa dunia
 
Mods mpeni ban mleta uzi huu... hawezi kumdharau Gaucho kihasi hiki.
Anamfananisha na vitu vya kipuuzi hiv!!!!!

Acha unoko wewe, kwani uongo sasa? Dino kapitwa mbali,kacheza muda mfupi kajichokea, Don Andres kacheza mda mref na bado mkali. Mue mnatumia akili kufikiri.
 
Back
Top Bottom