Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

Jamani comparison zingine ni za ajabu kama mess afuati kwa gaucho,sasa huyo jamaa si ndio kabisa

Mandazi Fans hamkosekanagi,

Messi na Maradona weka mbali na watoto na watu wazima, hawafananishwi n mchzj yeyote kijana, muwe mnaelewa basi,

Gaucho ni level ya akina Xavi,okocha,Aguero,Henry,Deco,etoo,Neimar,SuareBatistuta,Kluivert.
 
ingia youtube, ingia insta kwenye page yake utaona maajabu na miujiza ambayo mpaka hii leo Gaucho anaifanya.

St Gaucho juzi kati kapiga goli 5 kwenye Indoor Soccer na kufanya matendo makuu ya ajabu ambayo hata wanaoucheza mchezo huo wame yashangaa.

Duru za soka zilipata kutanabaisha na kukiri kuwa ili umkabe na kumfunika Dinho Magic basi ni lazima uwe na Bikali, Kowa, Wembe, Sindano, Upupu na silaha nyingine ndogondogo za jadi.

Claudio Makelele alipata kusema kuwa "huwa kuna kipindi uwanjani nategea kwenda kumkaba ili nione anachowafanyia wenzangu wenye vihelehele"...sasa ukiona mpaka mchezaji anavutiwa na matendo ya adui basi ujue adui huyo unapaswa kuungana nae.

ntarudi...
Miujiza alifanya yesu tu.. Huyo gaucho anachezea ligozi tu lililo jazwa hewa... Don't get caught up in the hype.
 
September 20, 2016
Messi amemtaja mchezaji bora zaidi yake… Utashangaa aliyemtaja!

Newsroom TZA
Leo September 20, 2016 kwenye upande wa soka nimeipata hii ya Mshambuliaji was club ya Barcelona Lionel Messi ambaye amemtaja mchezaji anayemkubali zaidi duniani, najua utakua umeshaweka jina la mchezaji unayehisi Messi kamtaja mtu wangu.

Mid fielder wa club ya Barcelona Andres Iniesta ndiye mchezaji aliyetajwa na Messi kama mchezaji anayemkubali zaidi. Iniesta na Messi wote ni zao la Academy au Team B ya club ya Barcelona, Muajentina huyo amesema japokuwa wote wana mchezo unaofanana, Bado Iniesta mwenye asili ya Hispania amekuwa na uwezo wa kipekee ambao yeye binafsi amejikuta hawezi kuufikia.

>>>>Iniesta ni bora zaidi yangu, kila wakati namuona akiwa na mpira miguuni mwake. Ndivyo nimekuwa nikiuona ubora wake. Anafanya kila kitu kwa urahisi sana, kuna wakati anaonekana kama hafanyi kitu lakini ndio hapo anapofanya maajabu. Kila kitu ni tofauti kwa Andrés, unajua kitu kigumu kwenye football ni kufanya kila kitu kionekane rahisi tu, au hakitumii juhudi zozote, na hivyo ndo Andrés alivyo:– Messi

Mastaa hao wawili wamekua pamoja ndani ya Nou Camp tangu mwaka 2004 na kuisaidia club ya Barcelona kushinda mataji 8 ya ligi, manne kati ya hao ni ya Champions League huku manne yakiwa ni ya vikombe vya Copa Del Rey.
 
Mandazi Fans hamkosekanagi,

Messi na Maradona weka mbali na watoto na watu wazima, hawafananishwi n mchzj yeyote kijana, muwe mnaelewa basi,

Gaucho ni level ya akina Xavi,okocha,Aguero,Henry,Deco,etoo,Neimar,SuareBatistuta,Kluivert.
mkuu nikukumbushe hapa ni ronadinho vs iniesta
 
Nilitokea kuwa natazama mechi za Barcelona hata usiku wa manane kwa ajili kumtazama Ronaldinho tu, japo sishabikii hii timu. Tangu aondoke natazama el classico pekee.
Gaucho ni wa kipekee daima.
 
Muulize David Seaman anaweza akawa na jibu zuri juu ya Gaucho vs Iniesta
 
La Liga 2
UEFA Champions League 1 mwaka 2006
FIFA World Player of the Year mara mbili 2004 na 2005
Ballon d'Or mwaka 2005. Ronaldinho yupo kwenye listi FIFA 100 Orodha ya wachezaji nguli wasoka walio hai
FIFPro World XI from 2005–2007.Hii ni first eleven ya dunia
 
MATAJI BINAFSI YA RONALDINHO GAUCHO
FIFA Confederations Cup Golden Ball (1): 1999
FIFA Confederations Cup Golden Shoe (1): 1999
Rio Grande do Sul State Championship Top Scorer (1):
1999
CONMEBOL Men Pre-Olympic Tournament Top Scorer
(1)
: 2000 FIFA World Cup All-Star Team (1):
2002 FIFA 100 La Liga Ibero-American Player of the Year (1): 2004 FIFA Confederations Cup Bronze Ball (1)
2005 World Soccer Magazine World Player of The Year (2):
2004, 2005
FIFA World Player of the Year (2): 2004 , 2005
Ballon d'Or (1): 2005
Onze d'Or (1): 2005
La Liga Assist Leader (1): 2005–06 [152]
UEFA Club Forward of the Year (1): 2004–05
UEFA Club Footballer of the Year (1): 2005–06
UEFA Team of the Year (3): 2003–04, 2004–05,
2005–06
ESM Team of the Year (3): 2003–04 , 2004–05 , 2005–
06
Don Balón Award (2): 2003–04, 2005–06
FIFPro World Player of the Year (1): 2005
FIFPro World XI (3): 2004–05, 2005–06, 2006–07
FIFA World Player of the Year – Bronze award (1):
2006
Serie A Assist Leader (1): 2009–10 [153]
Golden Foot (1): 2009
Bola de Ouro (1): 2012
South American Footballer of the Year (1): 2013
Brazilian Football Museum Hall of Fame
UEFA Ultimate Team of the Year (substitute; published
2015)

MATAJI BINAFSI YA ANDRE INIESTA

FIFA Ballon d'Or : 2nd place 2010, 4th Place 2011 , 3rd
Place 2012
FIFA World Cup Dream Team: 2010[91]
2010 FIFA World Cup Final : Man of the Match
FIFA Confederations Cup Silver Ball : 2013
FIFA Club World Cup Bronze Ball: 2015[92]
UEFA Best Player in Europe Award : 2012 [93]
UEFA Euro Player of the Tournament: 2012 [94]
UEFA Euro Team of the Tournament : 2008 , 2012[90]
UEFA Euro All-time XI (published 2016) [95]
UEFA Euro 2012 Final: Man of the Match
UEFA Champions League Team of the Season : 2014–
15 , 2015–16
2015 UEFA Champions League Final : Man of the Match
La Liga Spanish Player of the Year: 2009
La Liga Best Attacking Midfielder : 2009 , 2011 , 2012,
2013 , 2014
La Liga di Stéfano Trophy: 2nd best player in 2008–
09, 3rd in 2011–12
La Liga Team of the Season : 2015–16
FIFA FIFPro World XI: 2009 , 2010, 2011 , 2012 , 2013,
2014
UEFA Team of the Year : 2009, 2010 , 2011,
2012 , [90] 2015
UEFA Ultimate Team of the Year (published 2015)
ESM Team of the Year: 2010–11
Marca Legend Award : 2011
IFFHS World's Best Playmaker : 2012, 2013
Golden Foot: 2014
Onze de Bronze : 2009
Onze d'Argent : 2011

Haya endeleeni kulinganisha mto Msimbazi na Mto Ruvu.
 
Gaucho..............the smiling Assassin.
 
Bado tu mnabishana ya gaucho na IniestaMan? hahahahaaa haya bwanaa nyie jifarijeni tu Iniesta ataendelea kuwa mbabe wake, mleta uzi mtake radhi Iniesta.
 
Halafu nataka niwaambie kitu, msimuingize kabsaa Mfalme Maradona na mfalme Messi kwenye huu mjadala tutakosana aisee.hadi leo hii tarehe 22.9.2016 sijaona wakualinganisha full stop
 
Gaucho haijawahi kutokea wala hakitatokea kizazi kama chake duniani !! huyu sio hata wa kumtaja jina lake kabisa!!! kafanya vitu ambavyo hata compyuta haiwezi !!! yawezekana ni mchanganyiko wa uzao wa binadamu na malaika. Hakuna cha mara dona, marasembe, messi au dinning , delima au kitu kingine hapa duniani achana na gaucho bana!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Iniesta na Gaucho??Sipendagi kumfananisha na vitu vya kijinga [HASHTAG]#Gaucho[/HASHTAG]
 
Endeleeni tu kukufuru. ila ukweli wajulikana Iniesta ni zaidi ya gaucho,
 
September 20, 2016
Messi amemtaja mchezaji bora zaidi yake… Utashangaa aliyemtaja!

Newsroom TZA
Leo September 20, 2016 kwenye upande wa soka nimeipata hii ya Mshambuliaji was club ya Barcelona Lionel Messi ambaye amemtaja mchezaji anayemkubali zaidi duniani, najua utakua umeshaweka jina la mchezaji unayehisi Messi kamtaja mtu wangu.

Mid fielder wa club ya Barcelona Andres Iniesta ndiye mchezaji aliyetajwa na Messi kama mchezaji anayemkubali zaidi. Iniesta na Messi wote ni zao la Academy au Team B ya club ya Barcelona, Muajentina huyo amesema japokuwa wote wana mchezo unaofanana, Bado Iniesta mwenye asili ya Hispania amekuwa na uwezo wa kipekee ambao yeye binafsi amejikuta hawezi kuufikia.

>>>>Iniesta ni bora zaidi yangu, kila wakati namuona akiwa na mpira miguuni mwake. Ndivyo nimekuwa nikiuona ubora wake. Anafanya kila kitu kwa urahisi sana, kuna wakati anaonekana kama hafanyi kitu lakini ndio hapo anapofanya maajabu. Kila kitu ni tofauti kwa Andrés, unajua kitu kigumu kwenye football ni kufanya kila kitu kionekane rahisi tu, au hakitumii juhudi zozote, na hivyo ndo Andrés alivyo:– Messi

Mastaa hao wawili wamekua pamoja ndani ya Nou Camp tangu mwaka 2004 na kuisaidia club ya Barcelona kushinda mataji 8 ya ligi, manne kati ya hao ni ya Champions League huku manne yakiwa ni ya vikombe vya Copa Del Rey.

Hii taarifa peleka kwa mandazi fans wataiamini tu mkuu,na tunao wengi tu humu you are one of them, ila kwa sisi wenye uelewa zaidi yako na tunafahamu na tunamfahamu mfalme huyu vilivyo...kwanza utambue yeye sio mtu wa kujisifu..pili hana tabia ya kumponda player yeyote yule awe mdogo ama mkubwa, na hata kama kamzidi kiwango kiasi gani hawezi hata siku moja kutamka maneno ya kujisifia na kumponda yule' eti kwa sababu yeye baba wa soka duniani 'NO' narudia tena hawezi kujisifia, na kujiona yeye yupo juu zaidi ya mwingine, hii ndio moja wapo ya sifa zake huyu kiumbe, kama unakumbuka alipoulizwa mchezaji yupi bora akasema' "there are many like xavi,Iniesta,ronaldo. I don't know if I'm the best, Let the fans decide"

Messi atabakia kuwa Messi

Pia ningependa nikukumbushe tu uzi huu unawahusu Iniesta na Gaucho...ni hayo tu
 
Back
Top Bottom