Injini ya ndege ya United Airlines yalipuka angani

Injini ya ndege ya United Airlines yalipuka angani

Nitaendelea kuwakubali Airbus mpaka basi,,,,wamarekani weusi njooni huku lidege lenu limelipuka tena,,,,poleni sana wamarekani weusi.
Sawa lakini nenda airport yeyote kubwa dunian kwenye parking utahesabu boing 5 then airbus moja then 7 airbus moja
 
hili shirika lilikua linaaminika Sana,miaka ya nyuma nadhani ndo shirika ambalo lilikuwa na ndege zisizo na mashaka ,Wala wasiwasi.nini kimawapata Boeing miaka ya hivi karibuni??au ndo nao technologia yao imehujumiwa??
 
Umesoma hiyo habari kamili kuwa hilo shirika na fleet hiyo ya ndege wao pekee waliobaki kutumia hiyo aina ya Engine huku Mashirika mengine yote yashabadilisha hiyo aina ya Engine?

Achana na maboeing wewe frank,, hata 737 max c ivyo ivyo!!!! Kwisha habari yenu
 
A220 tena nahis its newest edition aircraft


Hivo vidogo, japo amejitahidi mno.


A220, A300, A310, A318, A319, A320, A321, A330, A340, A350, A380

AIRBUS

With a price tag of $445.6 million, the A380 is one of the most expensive and lavish airplanes ever built. With room for as many as 800 passengers, the double-decker's sheer size means it's an occasion whenever a superjumbo arrives.



BOEING DREAMLINER

typePrice in million U.S. dollars
787-8248.3
787-9292.5

Bei nilizoangalia mkuu, Labda weka na zakwako
 
Dooh.. Hao abiria walochukua video kwenye taharuki hiyo wana ujasiri wa kutosha!!!

Ingekuwa ni nchi fulani hivi nadhani ni Wakanda basi ukikutwa na video za namna hiyo ww unakwamisha maendeleo ya serikali [emoji16]
 
Naona watu wanaishambulia Boeing wakati tatizo lililotokea ni la hizo engines Pratt & Whitney PW4077 ambazo zimetengenezwa na kampuni nyengine kabisa
 
Back
Top Bottom