PreGE2025 Injinia Hersi atinga mkutano mkuu wa CCM, asema ameenda kama mwanachama aliyealikwa na katibu mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Ni mwanachama wa CCM, lakini nimepata mualiko wa katibu mkuu. Wote ni mashuhuda wa kazi nzuri inayofanywa na serikali ya chama cha mapinduzi katika kusimamia ilani ya michezo na mafanikio yote tunayoyapata yanaanzia hapa na tumpongeze mwenyekiti wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri na tunamuombea, na leo katika mkutano huu nafikiri ni sehemu ya kutupelekea kwenye miaka mingine mitano ya uongozi wake itakayotupa dira sahihi kwa chama chetu." Injinia Hersi Said Rais wa Yanga

Ni mwanachama so ni haki yake, mambo ya ubunge hayo ni ya kwetu ila hajawahi kuyazungumzia, anyway akiamua kuwa mbunge wamsogeze wizara ya michezo hapo asaidiane na mwanaFA
 
"Ni mwanachama wa CCM, lakini nimepata mualiko wa katibu mkuu. Wote ni mashuhuda wa kazi nzuri inayofanywa na serikali ya chama cha mapinduzi katika kusimamia ilani ya michezo na mafanikio yote tunayoyapata yanaanzia hapa na tumpongeze mwenyekiti wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri na tunamuombea, na leo katika mkutano huu nafikiri ni sehemu ya kutupelekea kwenye miaka mingine mitano ya uongozi wake itakayotupa dira sahihi kwa chama chetu." Injinia Hersi Said Rais wa Yanga

wasomali hawa kimasihara masihara huyu hapa THE HEAD OF STATE,hawanaga woga
 
"Ni mwanachama wa CCM, lakini nimepata mualiko wa katibu mkuu. Wote ni mashuhuda wa kazi nzuri inayofanywa na serikali ya chama cha mapinduzi katika kusimamia ilani ya michezo na mafanikio yote tunayoyapata yanaanzia hapa na tumpongeze mwenyekiti wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri na tunamuombea, na leo katika mkutano huu nafikiri ni sehemu ya kutupelekea kwenye miaka mingine mitano ya uongozi wake itakayotupa dira sahihi kwa chama chetu." Injinia Hersi Said Rais wa Yanga

Hersi anagombea ubunge jimbo la ndugai
 
Hersi be careful na huo ussm wako, wewe ni kiongozi wa tim kubwa hapa tz, ukileta uchawa tu tunapindua meza, young hatutakagi ujinga hata kidogo
Huyo tayari ameshaitosa Yanga, kiukweli yeye na boss wake Ghalib wameitumia Yanga kama ngazi tu kufikia malengo yao ya kisiasa na kibiashara kwani Ghalib yule ni Simba damu Yanga ni kijiwe tu cha kupigia pesa.
 
hapana wala hawaitosi wapo nayo sana kuna contigent plan inakuja na wao watakuwa wawekezaji wa yanga
 
Biashara ya siasa inalipa.ama.anatafuta nafasi ili aisaidie yanga
 
Back
Top Bottom