Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,236
- 3,544
Hatoboi, Kigamboni yupo Mke wa Abdul , Halima Bulembo DC, huyu ndiye atatangazwa kata kabla kura hazijahesabiwa.Anagombea Jimbo la Kigamboni, mazungumzo yamekamilika na amekabidhiwa Jimbo hilo kwa baraka za Msoga.
Yeyote atakayejaribu kwenda kugombea Jimbo la Kigamboni kichwa kichwa huyo ndiyo atapoteza muda