INJINIA HERSI, Mtimue Kocha Huyu Kabla Hakujakucha Kesho, Huu ni Unyonge na Udhalilishaji wa kijinsia!

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
4,994
Reaction score
9,625
Wana-JamiiForums na Wana-Yanga wenzangu,

Yale yaliyotokea leo uwanjani sio mpira, ule ni udhalilishaji wa kijinsia na unajisiwaji wa nembo ya klabu yetu adhimu!

Kuongoza mchezo kipindi cha kwanza kisha unakuja kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia ,ki mbinu na kugeuzwa kipindi cha pili ni upumbavu usiovumilika.
Injinia Hersi Said, kama kweli una uchungu na timu hii na uwekezaji wa GSM, Tunataka huyu kocha asiamkie Dar es Salaam kama mfanyakazi wa Yanga.

Ameshindwa kusoma mchezo, amezidiwa akili kabisa na Steve Barker, na wachezaji wameonekana kama kuku waliokatwa vichwa kipindi cha pili.

Kipigo cha dharau cha 2–1 kutoka kwa Simba hakivumiliki hata kidogo. Hersi fanya maamuzi magumu usiku huu kabla hakujakucha, huyu kocha afukuzwe kazi mara moja!

Tunataka kocha anayejua hadhi ya Yanga, sio wa kutia aibu namna hii! Mashabiki tumechoka kulia , wakati watu wanalipwa mishahara mikubwa kwa mbinu mbovu.

Hersi, timua huyo mtu!
 
Ujumbe huu umfikie injinia hersi..kama atashindwa kufanya maamuzi magumu basi ang'atuke yeye atuachie yanga yetu.

Kwenye kipindi cha mwezi mmoja Yanga tuna misiba mitatu.

Msiba wa mama Fatma Karume

Msiba wa Mzee Mpili

Msiba wa udhalilishaji wa kijinsia uliofanywa leo na simba katika uwanja wa uhuru.

Dah inauma
 
😂 mmeshindwa kulinda mgongo
1791606774813.jpg

UNASEMAJE?
 
Yaani badoo mbona hamjasema yaani mpaka msemee
Acha tutoe dukuduku..nasubiri saa 6 usiku nizame kwenye live ya pipitida kutoa dukuduku langu kwenda kwa uongozi wa Yanga
 
Wana-JamiiForums na Wana-Yanga wenzangu,

Yale yaliyotokea leo uwanjani sio mpira, ule ni udhalilishaji wa kijinsia na unajisiwaji wa nembo ya klabu yetu adhimu!

Kuongoza mchezo kipindi cha kwanza kisha unakuja kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia ,ki mbinu na kugeuzwa kipindi cha pili ni upumbavu usiovumilika.
Injinia Hersi Said, kama kweli una uchungu na timu hii na uwekezaji wa GSM, Tunataka huyu kocha asiamkie Dar es Salaam kama mfanyakazi wa Yanga.

Ameshindwa kusoma mchezo, amezidiwa akili kabisa na Steve Barker, na wachezaji wameonekana kama kuku waliokatwa vichwa kipindi cha pili.

Kipigo cha dharau cha 2–1 kutoka kwa Simba hakivumiliki hata kidogo. Hersi fanya maamuzi magumu usiku huu kabla hakujakucha, huyu kocha afukuzwe kazi mara moja!

Tunataka kocha anayejua hadhi ya Yanga, sio wa kutia aibu namna hii! Mashabiki tumechoka kulia , wakati watu wanalipwa mishahara mikubwa kwa mbinu mbovu.

Hersi, timua huyo mtu!
Kocha haondoki hadi amalize kuwapiga miti wachezaji wote wa Yanga.
 
Kwani yanga aliongoza kipindi cha kwanza. Wewe unaumwa. Yanga alipata gori la kuongoza, kipindi cha kwanza simba alitawala kuliko ata cha pili asilimia 60+ kwa 30+ upande wa yanga.
Umelewa unaandika vitu visivyoeleweka amka utajinyea wewe nzi wa kijani
 
Wana-JamiiForums na Wana-Yanga wenzangu,

Yale yaliyotokea leo uwanjani sio mpira, ule ni udhalilishaji wa kijinsia na unajisiwaji wa nembo ya klabu yetu adhimu!

Kuongoza mchezo kipindi cha kwanza kisha unakuja kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia ,ki mbinu na kugeuzwa kipindi cha pili ni upumbavu usiovumilika.
Injinia Hersi Said, kama kweli una uchungu na timu hii na uwekezaji wa GSM, Tunataka huyu kocha asiamkie Dar es Salaam kama mfanyakazi wa Yanga.

Ameshindwa kusoma mchezo, amezidiwa akili kabisa na Steve Barker, na wachezaji wameonekana kama kuku waliokatwa vichwa kipindi cha pili.

Kipigo cha dharau cha 2–1 kutoka kwa Simba hakivumiliki hata kidogo. Hersi fanya maamuzi magumu usiku huu kabla hakujakucha, huyu kocha afukuzwe kazi mara moja!

Tunataka kocha anayejua hadhi ya Yanga, sio wa kutia aibu namna hii! Mashabiki tumechoka kulia , wakati watu wanalipwa mishahara mikubwa kwa mbinu mbovu.

Hersi, timua huyo mtu!
Kocha hana shida shida ni usajili anaofanya kwa misifa Hersi, usajili amwachie kocha, wasauzi wana jicho la kuona wachezaji wazuri
 
Wakati wenzenu wanasajili nyi mlikuwa wapi?
Endelea kupiga mayowe labda utasikika
 
Mbona tayari muda tu?
 
Attachments

  • IMG-20261010-WA0126(1).jpg
    IMG-20261010-WA0126(1).jpg
    147.5 KB · Views: 11
Back
Top Bottom