udhalilishaji wa kijinsia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania INJINIA HERSI, Mtimue Kocha Huyu Kabla Hakujakucha Kesho, Huu ni Unyonge na Udhalilishaji wa kijinsia!

    Wana-JamiiForums na Wana-Yanga wenzangu, Yale yaliyotokea leo uwanjani sio mpira, ule ni udhalilishaji wa kijinsia na unajisiwaji wa nembo ya klabu yetu adhimu! Kuongoza mchezo kipindi cha kwanza kisha unakuja kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia ,ki mbinu na kugeuzwa kipindi cha pili ni...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji wa Kijinsia Arabuni wavuka Mipaka - Achezea vibao Hadharani

    Hawa jamaa ndio wametuletea Hizi dini huku Afrika ila sasa wao hawaheshimu kabisa Wanawake. Wabillah Taufiq
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Naibu DCI: Makosa ya udhalilishaji wa kijinsia yamepungua Zanzibar

    Naibu Kurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Naibu Kamishna wa Polisi DCP. ZUBERI CHEMBERA amesema Makosa dhidi ya binadamu yamepungua ambapo yameripotiwa jumla ya makosa 1,116 katika Vituo vya Polisi Zanzibar katika kipindi cha Januari hadi Disemba, 2024 ikilinganishwa na makosa 1,280 ya...
  4. Mshenyentaji

    JamiiForums Tanzania Serbia anachomfanya USA kwenye basketball ni udhalilishaji wa kijinsia

    Mpaka sasa Serbia tunaomgoza kwa advantage ya vikapu 14 Linakufa jitu huku
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Makonda ashtakiwe kwa udhalilishaji alioufanya kwa mwanakamati huyu

    Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua. Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda alimwamvia haongei na mchumba wakw bali wananchi, nina mke mzuri nyumbani! Kwamba alokuwa anaongea kwa...
Back
Top Bottom